Hizi points zako tano; zimenipatia hii Hadithi fupi: "Njia za Kupata Mafanikio"1. Ili utoboe haraka kwa njia za haki, simamia mwenyewe kazi yako
2. Ili utoboe haraka kwa njia za haki achana na story ya kumwachia dhamana kubwa mtu mwingine
3. Ili utoboe haraka kwa njia za haki achana na partinership za kibongo zisizo na tija
4. Ili utoboe haraka kwa njia za haki achana na kitu kinaitwa undugu hasa kwa sisi wabantu
5. Ili utoboe haraka kwa njia za haki usimpe usaidizi wa kazi total jobless person
Sambamba Sana [emoji1666] kiongozi naona umerudi Tena JF bila wewe Malila huwa naona bado haijakamilika kutokana na nondo ulizokuwa unatoa miaka ya nyumaSalaam,
Katika michakato ya ujasiriamali nimekutana na mambo kadhaa wa kadhaa, iwe kwa kuona au kuhadithiwa au kwa kutenda au kutendewa au kushuhudia, mwisho ukweli umebaki pale pale ambao ni huu hapa chini.
1. Ili utoboe haraka kwa njia za haki, simamia mwenyewe kazi yako
2. Ili utoboe haraka kwa njia za haki achana na story ya kumwachia dhamana kubwa mtu mwingine
3. Ili utoboe haraka kwa njia za haki achana na partinership za kibongo zisizo na tija
4. Ili utoboe haraka kwa njia za haki achana na kitu kinaitwa undugu hasa kwa sisi wabantu
5. Ili utoboe haraka kwa njia za haki usimpe usaidizi wa kazi total jobless person
Hio no 3 umekoroga ngaziSalaam,

Umepotea sana madam!! Vipi mashamba njombe, iringa na ruvuma eka moja inachezea ngapi kwa sasa?Salaam,
Katika michakato ya ujasiriamali nimekutana na mambo kadhaa wa kadhaa, iwe kwa kuona au kuhadithiwa au kwa kutenda au kutendewa au kushuhudia, mwisho ukweli umebaki pale pale ambao ni huu hapa chini.
1. Ili utoboe haraka kwa njia za haki, simamia mwenyewe kazi yako
2. Ili utoboe haraka kwa njia za haki achana na story ya kumwachia dhamana kubwa mtu mwingine
3. Ili utoboe haraka kwa njia za haki achana na partinership za kibongo zisizo na tija
4. Ili utoboe haraka kwa njia za haki achana na kitu kinaitwa undugu hasa kwa sisi wabantu
5. Ili utoboe haraka kwa njia za haki usimpe usaidizi wa kazi total jobless person
Shukrani kwa ku share lakiniSalaam,

Naam,Hio no 3 umekoroga ngazi
Ila yote kwa yote mtu akifuata hizo protocol vizur lazima atoboe
Mashamba yapo,Umepotea sana madam!! Vipi mashamba njombe, iringa na ruvuma eka moja inachezea ngapi kwa sasa?
Salaam,
Katika michakato ya ujasiriamali nimekutana na mambo kadhaa wa kadhaa, iwe kwa kuona au kuhadithiwa au kwa kutenda au kutendewa au kushuhudia, mwisho ukweli umebaki pale pale ambao ni huu hapa chini.
1. Ili utoboe haraka kwa njia za haki, simamia mwenyewe kazi yako
2. Ili utoboe haraka kwa njia za haki achana na story ya kumwachia dhamana kubwa mtu mwingine
3. Ili utoboe haraka kwa njia za haki achana na partinership za kibongo zisizo na tija
4. Ili utoboe haraka kwa njia za haki achana na kitu kinaitwa undugu hasa kwa sisi wabantu
5. Ili utoboe haraka kwa njia za haki usimpe usaidizi wa kazi total jobless person
Please naomba ufafanue point yako ya mwisho.Salaam,

Duuh! Hata kwa 100k kwa eka ni ngumu kupata huko?Mashamba yapo,
Ujio wa Parachichi na macadamia, ajira kupotea, idadi ya watu wasio na ajira rasmi kuongeze umebadilisha thamani ya ardhi. Maporini kabisa tulikokuwa tunanunua bei karibu na bure leo nenda na 150,000/ kwenda juu.
Unaweza pata ndani ndani sana, ambako changamoto zote zipo kama kukosa barabara, maji, huduma za kijamii mbali sana, wanyama waharibifu nk nk. Au unaweza pata za bei hiyo kwenye mashamba yenye migogoro au yaliyoachwa na wenyewe kwa muda.Duuh! Hata kwa 100k kwa eka ni ngumu kupata huko?
Unapompa kazi mtu ambaye totally ni jobless kwa kipindi cha kutosha, kuna vitu lazima ukubali vikukute. Moja anaweza kuwa mdokozi sbb ya shida au anaweza asiwe na tija sbb ameshakata tamaa. Pili, anaweza kukuonyesha tabia halisi baada ya kitambo wakati ameshajikarabati.Please naomba ufafanue point yako ya mwisho.
Kulima nyanya, vitunguu unatoa rushwa kwa nani? mfano tu.Bila rushwa mtaandika sana jitihada za kutoboa, TZ kutoboa ngumu nila rushwa
Pole mkuu3 &4
Zimenitokea, Nimeona.
Uko sawa, bomba linaloleta maji ni nchi moja na la kutolea ni nchi nne, sijui kama maji yatakaa. Hapa tunazungumzia bomba la kutolea maji liwe dogo sana ili maji yajae tanki mkuu.Nami na wambia iliufanikiwe katika biashara unatakiwa kuwa na wateja wa kutosha na hayo yote hapo juu bila wateja ni bure.