Ili UDSM kiwe Bora, Ardhi University na MUHAS zirudishwe UDSM

instanbul

JF-Expert Member
Jun 26, 2016
11,383
14,197
Hiv kwa nini MUHAS na ARU vilitolewa UDSM na kuwa vyuo vinavyojitegemea.?

Ukiangalia zamani UDSM kilikuwa chuo Bora Kwa sababu ya kutoa kozi bora lakini sasa kimeshuka na kufikia nafasi ya 36 Africa.

Chuo kikuu kinabidi kiwe na matawi yaliyoshiba.

Sasa UDSM ni coet Tu coist kwenye kozi za maana

UDSM hakuna kozi ya afya na wala hakuna kozi nzuri zinazotolewa ARDHI kama architecture,land survey na Mambo mengine kama lmv.
Hebu rudisheni vyuo hivyo vikuu ya nini kuwa na vyuo vingi visivyo Bora.si Bora kuwa na chuo kimoja chenye hadhi.

Tetesi.naskia hata duce na coist wanataka viwe vyuo vikuu sasa sijui UDSM itabaki kuwa nini tena
 
Ubora upi ndugu, wataalamu wake wameshindwa hata kutengeneza sindano au unazungumzia Ubora wa GPA?
 
Yaani watoto warudi tumboni...!!

Huenda unanizidi umri ila lile neno linanitoka tu kirahisi, tuache visingizio vya ajabu siasa imetawala mifumo ya elimu.... haikuwa na haja hizo college kuwa vyuo ila ni haziwezi kurudi zilikozaliwa.
 
Basi waanze upya.

Maana siku hiz UDSM hakuna kozi za maana ukitoa coet na coist
 
Acha utani unataka chuo changu tukuka ARU kirudi Udsm kufanyani?tulishatoka huko kitambo,proud ARU product.UDsm wajipange tu warudie ubora wao si ndio Mr President anawaaminia na alisema ni best University?
UDSM inaangamia siku hiz.

Hakuna la maana pale kinabebwa na historia
 
Mzee kabudi kasema ni jalalani hahahah
Tatizo siasa zinaua vyuo vyetu
Hata ile mititi tulikuwa tunafanya kugomea maboom ama maslah mengine saivi ni kama hakuna
Nakumbuka kunji la 2008 tulilianzisha Ardhi tukatimuliwa siku hiyohiyo tulofungua chuo,wakafata UD na vyuo vingine,tukakaa home kama miez mitatu dadek
 
Hiv kwa nini MUHAS na ARU vilitolewa UDSM na kuwa vyuo vinavyojitegemea.?

Ukiangalia zamani UDSM kilikuwa chuo Bora Kwa sababu ya kutoa kozi bora lakini sasa kimeshuka na kufikia nafasi ya 36 Africa.

Chuo kikuu kinabidi kiwe na matawi yaliyoshiba.

Sasa UDSM ni coet Tu coist kwenye kozi za maana

UDSM hakuna kozi ya afya na wala hakuna kozi nzuri zinazotolewa ARDHI kama architecture,land survey na Mambo mengine kama lmv.
Hebu rudisheni vyuo hivyo vikuu ya nini kuwa na vyuo vingi visivyo Bora.si Bora kuwa na chuo kimoja chenye hadhi.

Tetesi.naskia hata duce na coist wanataka viwe vyuo vikuu sasa sijui UDSM itabaki kuwa nini tena
Duce wanawezaje kujitegemea wakati wanategemea wahadhiri kutoka Mlimani ?
 
udsm imeanzisha college of health sciences mbeya..kozi zinazotolewa ardhi saivi zinatolewa pale coet.wat else?
 
Kwamba lmv,land survey, architecture,pfm, urp, nk nk
Zinatolewa coet?

Vip hata wakianzisha medicine inaweza fika ubora wa elimu ya afya ya MUHAS?

Sasa kama wameanza kuzitoa mboa waliviacha vikatolewa?

Huoni chuo kinavyodidimia kila kukicha
 
Hiv kwa nini MUHAS na ARU vilitolewa UDSM na kuwa vyuo vinavyojitegemea.?

Ukiangalia zamani UDSM kilikuwa chuo Bora Kwa sababu ya kutoa kozi bora lakini sasa kimeshuka na kufikia nafasi ya 36 Africa.

Chuo kikuu kinabidi kiwe na matawi yaliyoshiba.

Sasa UDSM ni coet Tu coist kwenye kozi za maana

UDSM hakuna kozi ya afya na wala hakuna kozi nzuri zinazotolewa ARDHI kama architecture,land survey na Mambo mengine kama lmv.
Hebu rudisheni vyuo hivyo vikuu ya nini kuwa na vyuo vingi visivyo Bora.si Bora kuwa na chuo kimoja chenye hadhi.

Tetesi.naskia hata duce na coist wanataka viwe vyuo vikuu sasa sijui UDSM itabaki kuwa nini tena
Proudly Ardhi University
 
Back
Top Bottom