Ili ripoti ya mchanga wa Dhahabu iaminiwe, ingeandaliwa na Taasisi huru sio maafisa wa serikali!

Jina lako linasadifu post yako ya kijinga na kilofa
 
Hongera kamanda ACACIA wamekulipa vizuri, KUJITUMA HUKU SIYO KAWAIDA ila ni LAZIMA UJUE Hakuna LENYE MWANZO LISILO NA MWISHO
 
Taasisi huru ya kimataifa ifanye uchunguzi kwenye kampuni ya kimataifa..how stupid can someone be?.
 
Mkuu hapo pia na mimi natumia uhuru wangu katika jukwaa huru kama unavyodai. Ila la msingi ni kujua huo haukuwa uchaguzi useme kwamba unahitaki usimamiz wa nje, ni rasimali za nchi zinakombolewa kutoka kwa matapeli kupitia serikali, sasa sijui wewe ungetaka taasisi gani ishirikishwe ili mawazo yako yatimie na point behind ya kuwashirikisha unaotaka wawepo. Una dalili zote za kutetea wizi kama kwwli wewe ni Mtanzania. Its we against the investors, sasa huyo third part unaemzungumzia simuelewi maana haexist.
 
Hoja hii haina mashiko kwani kwa nini hukuitoa ilipoundwa kamati umesubiri hadi Leo kifupi maoni haya ulitaka ripoti iseme vinginevyo
 
Unalolisema wewe ni jukumu la hayo makampuni ya madini kama hayaridhiki na uamuzi wa kamati uleta wataalam wa kimataifa ambao watashirikiana na wataalam wetu kuthibitisha maamuzi ya kamati.

Haiwezekani serikali isiwaamini wataalam wake na badala yake iwalete wataalam wa kukodi. Tena wazungu. Na wenye migodi ni wazungu.

Au na wewe umeguswa? Angalia aibu ya mnafiki zito.
 
Tangu mumchukue Lowasa akili zenu wote zimekuwa za kilowasa Lowasa.
 
Inatia Hasira sana
 
Ndiyo tatizo la baadhi ya Watanzania wenye akili finyu. Wanapokosa hoja ua mjadala husika hutaka kuingiza jambo ambalo halihisiani kabisa na mjadala husika. Fungua akili yako acha kukurupuka kuandika pumba.

Tangu mumchukue Lowasa akili zenu wote zimekuwa za kilowasa Lowasa.
 
Kesi haijaamuliwa mkuu!!! Baada ya hapa ndo tutathimini kuona twende kwa tribunal ama kwa ordinary court
 
Ulichoandika kina ukweli sana, ila sijui kama watakuelewa hawa watu. Tangu mwanzo ilionekana kama utawala ulishaamua kuwa kuna madini mengi kwenye containers, mpaka katibu mkuu wa wizara kufukuzwa, kwa hiyo hii tume ni lazima ingeleta matokeo ya namna hiyo.

Sijui kama ACACIA watakubali hayo matokeo, most likely wataomba independent audit yenye representative wao na wa serikali.
 
Principally uko sahihi sana huwezi kumvictize mtu then umchunguze mwenyewe though wajinga watakubishia.
 
Neno HURU ni neno la uwiano tu, how independent can an independent body be wakati TOR au terms of reference wanapewa na serikali inayocommission tume yenyewe!?
Wewe na kina TOMASO wenzio kutoiamini taarifa hiyo hakuzuii utekelezaji wa mapendekezo ya tume ya Mruma. Sisi tunaendelea kuwatumbua majambazi wewe subiri Serikali HURU ije iunde TUME HURU ikuletee ripoti utakayoiamini utekeleze mapendekezo yake if you ever see the light of day!
 
Kiufupi jambo ili halikuitaji hata tume.maana lipo wazi.wanaiba.
 
Wamekuuza figures kwenye taarifa yao kiasi kwamba unaweza dhani hizo pesa zipo...leo tumesomewa report hiyo njoo baada mwaka kama utapata mapato hata nusu zaidi ya kilichokuwa kinapatika... tutabaki tu nchii inamapato sana....ndo maana tafiti za maprofesa wetu zinajaza tu library za vyuo vyetu lkn hazina impact yoyote kwa maendeleo ya nchi hii....kwasababu wanaunganishaunganisha manamba yao ambayo hayana hata uhalisia...wenyewe utasikia sijui methodology, mara sijui sampling....mara hoh analysis kwa kutumia tool sijui gani.....hakuna lolote kucopycopy mambo ya watu na kuyazidishazidisha tu...hayo mapato wanayosema tunayapoteza waambie sasa kaeni mlangoni myakusanye yasipotee hata senti moja kama wataweza...
 
Tukifunga mtambo wa smelter hapa Tz alafu tukianza echejuaji ukweli hii report tutaujua tu kama walitafita kick au walikuwa wazalendo kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…