Ili ripoti ya mchanga wa Dhahabu iaminiwe, ingeandaliwa na Taasisi huru sio maafisa wa serikali!

for sure, mkuu leo anaingizwa chaka, hakuna cha watalaam wala nini, hiyo tume imejaa vilaza watupu
 
Ebu tudondoshee na production cost maana hii report niya 2015 ambapo production cost per ounce was $900 tuwekee ya sasa ili tujicharge kindava ndava.

Utuwekee na licence fee per annual zile site expansion cost, levy na development fund achana nazo.
 
WATANZANIA TUMEROGWA NA NANI HADI UHISI HILI ? ACHA KAMATI IFANYE KAZI NA MKULU ALIIPA UHURU WOTE . HATA HIVYO HIYO MICHANGA IWE INABAKI TU NCHINI
 
Jibu hoja ulizopewa
 
Hoja yangu bado inasimama!!
 
Haswaaaaaa!!!!

Ni sawa na kwenda na ngoma ya kigodoro cha mwajuma ndala ndefu mahakamani Siku ya hukumu,
 
Hahahaaaaaa pole kwa kuish kwa nadharia mkuu dhahabu ni mali yako!!??? Hebu nioneshe walau hata kipande cha 0.003mg unacho miliki kama mali yako ya dhababu unayo sema mali yetu
Ni mali yetu watanzania. Tulijaariwa na Mwenyezi Mungu kama ambavyo waarabu walijaariwa mafuta. Dhahabu ni ya watanzania. Si ya hao wazungu wako. Na wala si yako maana wewe si mtanzania, haikuhusu na ni bora ungekaa kimya tu.
 
Akili ya masaburi katika mwendelezo wake
 
Wakala wa mwizi wewe
 
Wewe mbona unasahau? Kati ya WANAKAMATI WALIOHUSIKA miongoni mwao wengine WALIISHASTAAFU. Hamna shida hapo.
 
Nashauri hii post ifutwe, maana point ya mtoa mada ni sisi kuja kupimiwa tena kama tulivyokwisha aminishwa hapo mwanzo halafu halafu tuibiwe tena. Mtoa post wewe siyo mtanzania. Wamepima na kutoa majibu watu waliofikia ukomo wa elimu waliyobobea...maprofesa. They know what they have done. Wanaaminika na wananchi na serikali kwa ujumla. Sasa wewe endelea kuitafuta taasisi.
 

Ama kweli wewe ni Dr Akili...!!

Sasa kama dhahabu ni ya kwenu, ikawaje mmewapa watu wa mataifa mengine kuchimba na kupeleka kwao huku ninyi mkilipwa sijui kitu gani kile..... mrahaba !??

Kama ni ya kwenu, kweli mikataba ya kuchimba dhahabu yenu mnaenda mnaandaliwa na wazungu kisha inaenda kusainiwa London tena hotelini bila hata wananchi kupitia bunge lao kujua nini kilichomo ktk clauses za mikataba hiyo ??

I think, let us pay the price of our stupid deeds .....

Naona kila dalili kuwa, pamoja na tume na kujifanya wanatishana kutumbuana, hakuna lolote litakalobadilika.....

Ni kwa sababu, mimi huwa ikifikiaga hatua ya kujadili mikataba hii ya raslimali zetu za asili inazozihusisha mult national companies, mara zote na -refer mkataba wa ufuaji umeme wa Richmond > Symbion na IPTL ambayo serikali hiihii chini ya CCM hiihii ilingia na kusaini....

Na badala yake ilishamaliza mabilioni ya dollar kutaka kuirekebisha ama kuivunja eti kwa kuiona haifai, ya kinyonyaji pasipo mafanikio huku tukiendelea kuliwa taratibu tukijiona.....!!

Sembuse hii ya madini ? Sina hakika pia kama Magufuli, atauweza mfupa huu .....

Hata hivyo, namuunga mkono na namtakia kila la kheri ktk kujaribu kwake naye....
 
Hii report isije ikaleta hasara kama ile ya samaki!!
 
Mkuu, eti taasisi huru yaani uchunguzi nyeti kama huo ufanywe na TWAWEZA !!!
 

Nafikiri,hii comment yako ndiyo inafaa kufutwa kwa sababu ni ya kijinga, kipumbavu na ubinafsi wa hali ya juu......

Hili ni jukwaa huru kwa kila mtu kutoa maoni yake ili mradi havunji Sheria yoyote....

Wewe kama unataka jukwaa ambalo ni "one sided opinions ", la kusifiwa na kutaka kusikia masikio yenu yatakayo kusikia, fungua FB yenu huko huko....!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…