Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 21,461
- 52,106
Kwema Wakuu!
Yaani unanisonya na kunipandisha na kunishusha kisa hilo wigi lako. Unachekesha sana.
Mimi najua unakipilipili kikali sana. Hiyo Makeup yako iliyokuchonga sura na kuyafanya macho yako kuwa makubwa ndio unaniringishia wakati najua jinsi ulivyo na pua pana kama nyanya chungu.
Kama unajiamini kweli wewe ni mzuri toa hiyo Makeup yako. Wewe si mzuri bhana!
Utawaburuza haohao kanyaboya wako washamba wa watoto wakali.
Mtoto bila wanja hutoki hata mlangoni kwako ndio unitishie mimi Mnyamwezi. Thubutu!
Kalale mbele huko.