GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,689
- 109,119
Hoja ina mashiko... Pesa ufata mkondo
Hata mambo ya kipuuzi kama ujambazi na uhuni pia yanategemea historia ya ukoo.Kuna Mtu aliwahi kuniambia huko zamani kuwa Pesa, Elimu na Mafanikio huwa yanategemea na Historia nzima ya Koo zako zote mbili.
Umasikini na ufukara ni kama tabia unaambukizwa, ni ngumu sana kutusua kama unaishi na kukulia kwenye jamii ya watu masikini na wewe unakua maskini by default ref: poverty cycle.Wewe Kuanzia Babu na Bibi zako wa Koo zako zote mbili hawana Historia ya kuwa na ama Pesa na Elimu, halafu leo hii eti na Wewe 'Utusue' pia?
Hata mambo ya kipuuzi kama ujambazi na uhuni pia yanategemea historia ya ukoo.
That's how nature worksUko sahihi tena kwa 100% katika hili kwani kuna Familia naijua Baba yao alikuwa ni Jambazi Sugu sasa hivi Watoto wake nao ni Vibaka Sugu.
Fanya kazi babu achana na mawazo ya kiduwanzi.Wewe Kuanzia Babu na Bibi zako wa Koo zako zote mbili hawana Historia ya kuwa na ama Pesa na Elimu, halafu leo hii eti na Wewe 'Utusue' pia?
Vp kama ndoto zangu ni kuona ndoto za mwingine zinatimia?"jenga ndoto zako mwenyewe la sivyo mtu atakuajiri kujenga zake"
kuona ndoto za mwingine zinatimia haikuzuii wewe kujenga ndoto zako, hiki mnachojaribu kuaminishana hapa na mtoa mada ndo kikwazo kikubwa cha vijana wengi wa kiafrica, wenzetu huangalia zaidi ndoto zao bila kujali historia za familia zao, tizama akina ronaldo, messi wametoka familia duni kabisa bt kwa kua waliwekeza katika kuzijenga ndoto zao leo hii dunia nzima inawatukuzaVp kama ndoto zangu ni kuona ndoto za mwingine zinatimia?
ndoto zangu ni kuona ndoto za mwingine zinatimia.kuona ndoto za mwingine zinatimia haikuzuii wewe kujenga ndoto zako
Hahah we janaa we we huishi vitukoMshindi wa Jackpot ya SportPesa, Lilian Ngitoria Laizer, amekabidhiwa kitita chake kiasi cha Sh. 267,800,060 na Kampuni ya Michezo na Burudani ya SportPesa Tanzania, huku akieleza mipango yake ni kufungua biashara kubwa.
Nipashe
Kuna Mtu aliwahi kuniambia huko zamani kuwa Pesa, Elimu na Mafanikio huwa yanategemea na Historia nzima ya Koo zako zote mbili. Nimeamini!!
acha kuzungusha maneno mkuu haitakusaidia kitu, bill gate anakuambia "acha kujifananisha na yeyote katika dunia hii, kufanya hivo utakua umejidunisha mwenye"ndoto zangu ni kuona ndoto za mwingine zinatimia.