Ile shida imeanza kunisumbua tena, naomba ushauri

Ile shida imeanza kunisumbua tena, naomba ushauri

Kaka usitishwe na ushuzi!!! Mwanaume rijali usiogope vitu vidogo kamq hivyo bna, kimsingi mwanaume hutakiwi kuwa muongeaji mbele ya mwanamke, kaa kimya amua kiume,,, ujue unapo kaa kimya kwa kila jambo hadi mtu anaweza kuogopa mwenyewe, sasa we kausha kwanza, acha akupigie makelele then we sepa usiwe mtu wa kujibu, deal na ishu zako...

Mda yeye ana dinywa alikuaga hajui kua unaumia?? Sasa yanini aanze kulalamika??

Amua kiume, tamka neno moja strong sepa zako, dunia ya mungu vitu vya mzungu,

so asikutishe kwa upuuzi na biti za kijinga na zakishamba,, anacho kitegemea kuna wengine walishakuanacho kitaaaambo na zaid ya cha kwake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaeleweka. Umeongea kwa akili sana. Ngoja nipige kimya, kwanza sitamdrill tena kwanza sina mpango naye...

Hii shida mpya nlishamdanganya sijawahi kuwa na mtu maeneo haya. Nlimwambia alikuwepo zamani sana na tulikutana huko Nangurukuru na alishaolewa kitambo sana na alifunga ndoa na hana time na mimi. Haya maneno ndo yanifanya nikose mlango.. Nipo ndani kama kifaranga ndani ya yai.
 
Bro sikiliza nkwambie, kwanza haya matatizo ya kwanza uliyokua ukiya chakaza jitahidi kuyakaushia, piga blok kila kona, pili usiwe muongeaji mbeleyake, tatu jiamini mbele ya mpenziwako wa sasa maana this is a new phase that you have opened hivyo you have to fear nothing except the fear itself, kimsingi unamwambia atakae kuja jitokeza atakua anafanya set up ili kuvunja uhusiano, alaf ikiwezekana akileta ujinga jifanye hujawahi kumuona kabisa humjui kama mbwai na iwe mbwai unamkana kama yuda alivyomkana yesu,,, mapenzio sio vita mzee baba, just ni makubalianotu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani kino mpaka ubungo kuna umbali gani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

kama ulipokea usisite kutoa tena
 
Unaeleweka. Umeongea kwa akili sana. Ngoja nipige kimya, kwanza sitamdrill tena kwanza sina mpango naye...

Hii shida mpya nlishamdanganya sijawahi kuwa na mtu maeneo haya. Nlimwambia alikuwepo zamani sana na tulikutana huko Nangurukuru na alishaolewa kitambo sana na alifunga ndoa na hana time na mimi. Haya maneno ndo yanifanya nikose mlango.. Nipo ndani kama kifaranga ndani ya yai.
Nakuelewa sana Bob! Sema nini ujue, tafuta namna shida mpya ielewe halafu kausha. Kazi kazi tu
 
Kabla sijatoa mawazo yangu naomba fafanua kauli yako ya "amemjay dee" ina maana gani?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom