Ile ofisi ya spka 6 kule urambo inatumika kwa ishu gani kwa sasa?

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Jun 4, 2011
7,789
8,922
Samweri 6 akiwa spika alijenga offisi ya uspika kule Urambo Tabora iliyo ghalimu milioni 400 na zaidi za watanzania. Je kwa sasa inatumika kwa shughuli gani?
Nisaidieni mlio huko Urambo.
 
Matumizi hayawezi kosekana Tanzania.Nadhani itakuwa inatumika kama ofisi ya spika mstaafu na kuweka hansard za richmond na makbrasha ya ccj.
 
ile sio ofisi ya sipika sikiza vizuri

[video=youtube_share;BhaAxQskQAk]http://youtu.be/BhaAxQskQAk[/video]
 
[h=1]Mhe. Anna Makinda atembelea ujenzi wa makazi ya Spika mjini Dodoma[/h]BY DULLONET TANZANIA – DECEMBER 27, 2010POSTED IN: HABARI KUU

Spika wa Bunge Mhe. Anna Makinda akisikiliza maelezo ya maendeleo ya ujenzi wa makazi ya Spika yanayojengwa Dodoma kutoka Maafisa wa Bunge pamoja na wakandarasi kutoka Wakala wa Ujenzi (TBA). Kulia kwake ni Afisa Tawala wa Bunge, Athumani Kwikima
Spika wa Bunge Mhe. Anna Makinda akisikiliza maelezo ya maendeleo ya ujenzi wa makazi ya Spika yanayojengwa Dodoma kutoka mtunza vifaa wa kampuni inayosimamia ujenzi huo mjini Dodoma.

Spika wa Bunge Mhe. Anna Makinda akielekeza jambo mara baada ya kutembelea maendeleo ya ujenzi wa makazi ya Spika yanayojengwa Dodoma jana. walioambatana nae ni maafisa toka Ofisi ya Bunge, wakala wa Ujenzi na wakandarasi wa Kampuni inayojenga jengo hilo.

Jengo la Makazi ya Spika linavyoonekana kwa sasa.(Picha na Owen Mwandumbya wa Bunge)
 
Jamaa aliamini kuwa angeshika kiti cha uspika angalau kwa miongo miwili, lol! mambo yakaenda ndivyo sivyo.
 
Samweri 6 akiwa spika alijenga offisi ya uspika kule Urambo Tabora iliyo ghalimu milioni 400 na zaidi za watanzania. Je kwa sasa inatumika kwa shughuli gani?
Nisaidieni mlio huko Urambo.

Anafugia kuku wa kienyeji upande mwingine anahifadhi tumbaku
 
ndio ujue sasa Tanzania inaongozwa na watu wa namna gani? upuuzi mtupu bora angejenga zahanati ingehudumia wagonjwa au aungejenga shule ingehudumia wanafunzi. sidhani kama ofic kubwa hivo ina kazi yoyote kwa Mtanzania kunufaika nayo.Wale wale tu hakuna cha 6 wala mama Kinda even naona tunaongozwa na viongozi wasiojua kufikiri kwa kina.. ofisi kuwa urambo what for????????? nauliza huu ni ungwana???? Kweli Tanzania tutazidi kuwa wadanganyika kwa vile viongozi nao ni danganya toto.
 
Back
Top Bottom