DuppyConqueror JF-Expert Member Mar 30, 2014 9,466 6,965 Feb 1, 2016 #8 Hivi huyu ndugu alifanyaje kichwa?
Exogenous Factor JF-Expert Member Nov 22, 2015 1,391 2,303 Feb 1, 2016 #9 Mungu na akazidi kuwabariki.
MasterP. JF-Expert Member Jun 5, 2013 8,051 6,387 Feb 1, 2016 #10 Duh! Jamaa kumbe ni noma kunako six by six..
Wapoti JF-Expert Member Aug 28, 2013 2,824 1,097 Feb 1, 2016 #11 MasterP. said: Duh! Jamaa kumbe ni noma kunako six by six.. Click to expand... Ng'ombe hazeeki maini
Savimbi Jr JF-Expert Member Sep 23, 2011 6,819 9,181 Feb 1, 2016 #12 Hongera Mwanamziki wa Uganda kupata mtoto.
Jambazi JF-Expert Member Jan 18, 2014 16,644 18,707 Feb 1, 2016 #14 Mbona huyu Dada mzuri hivi! OK ingekuwa Dada yangu hii NDOA ingekuwa batili
M mwenyeKitu JF-Expert Member Dec 28, 2015 946 771 Feb 1, 2016 #15 Binti mkali jamaa katia vocal. ..kang'oa.
Nanzia mwaingwa Member Jan 15, 2016 16 4 Feb 1, 2016 #16 Huyo ni mtoto wake kweli mhhh! DNA iwepo hapo
Kaplizer JF-Expert Member Apr 27, 2014 719 582 Feb 1, 2016 #17 Tuache dharau jamani.. Hujafa, hujaumbika
Kitombise JF-Expert Member Sep 24, 2013 8,517 25,428 Feb 1, 2016 #19 na uongeze watoto wengine 10 ili uwaringishie hawa wanamuziki wa kibongo ambao bunduki zao hazina risasi
na uongeze watoto wengine 10 ili uwaringishie hawa wanamuziki wa kibongo ambao bunduki zao hazina risasi