muulize Makinda nextweek atakuwa mjengoni
Ulishapata? Mimi sijapata ndio maana nauliza. Hivi kila mtu alipaswa apate chake au zile fedha zilikuwa za kununulia madawati ya watoto?
Mimi nimemaliza form four mwaka jana 2012 nimepata ziro yangu nimesizi,kwani zile ela walitumia kuongeza citabu mahabara,madawati,mishahara minono ya walimu na uuji wetu wanafunzi elimu imeboleshwa sisi tumeshapata chetu wewe ulikuwa wapi?
Mimi nimemaliza form four mwaka jana 2012 nimepata ziro yangu nimesizi,kwani zile ela walitumia kuongeza citabu mahabara,madawati,mishahara minono ya walimu na uuji wetu wanafunzi elimu imeboleshwa sisi tumeshapata chetu wewe ulikuwa wapi?
Zimepelekwa mashuleni tayari. Nimeona fedha ya capitation mashuleni imeongezeka kwa kiasi kikubwa sana miezi miwili iliyopita baada ya kufuatilia niliambiwa kuwa ni chenji ya lada. Labda chakufuatilia hapo ni kama haijachakachukiwa.Pamoja na matukio mengi ambayo tumekuwa tukijadili, kuna hili la chenji ya rada naona bado hatujafahamishwa limeishia wapi.
Tuliambiwa kuwa Uingereza walishaturudishia hizo pesa na tukaahidiwa kuwa fedha hizo zitanunulia madawati ili watoto wetu wasiendelee kukaa chini.
Je kuna mwenye habari kwamba hayo madawati yalishanunuliwa kwa hiyo fedha? Nani alipewa jukumu la kuratibu matumizi ya hizo fedha?
Naomba, hasa kwa ndugu Wabunge, hilo swali liulizwe bungeni ili wananchi waweze kujua fedha hizo zimetumika vipi.
Dingiswayo, naona wewe umekumbuka za Rada tu, kwani zile za EPA mwenzangu uliziona zilikoenda? Maana tuliambiwa Rostam hajakamatwa kwa kuwa alilipa vyote alivyoiba, zaidi ya bilioni 36, na wengine wengi ambao walisamehewa na Kikwete court tuliambiwa wamerudisha zile pesa. Hivi zilipelekwa bungeni ili kuingizwa kwenye bajeti? Kama hazikupelekwa zilitumikaje? Kwa ruhusa ya nani?Ina maana kuwa hizo pesa zimeshatafunwa? Kama ndivyo hivyo tuelezwe kuwa nani alizitafuna.
Zimepelekwa mashuleni tayari. Nimeona fedha ya capitation mashuleni imeongezeka kwa kiasi kikubwa sana miezi miwili iliyopita baada ya kufuatilia niliambiwa kuwa ni chenji ya lada. Labda chakufuatilia hapo ni kama haijachakachukiwa.
Dingiswayo, naona wewe umekumbuka za Rada tu, kwani zile za EPA mwenzangu uliziona zilikoenda? Maana tuliambiwa Rostam hajakamatwa kwa kuwa alilipa vyote alivyoiba, zaidi ya bilioni 36, na wengine wengi ambao walisamehewa na Kikwete court tuliambiwa wamerudisha zile pesa. Hivi zilipelekwa bungeni ili kuingizwa kwenye bajeti? Kama hazikupelekwa zilitumikaje? Kwa ruhusa ya nani?
Ulishawahi kujiuliza mikopo ambayo serikali inakopa kila kukicha bila hata kulishirikisha bunge au wananchi wa level yoyote? Huwa unajua zinatumikaje? Hii nchi ndugu yangu ukitaka kuhoji sana, unaweza kupata pressure zisizo na maana. You either decide to be a politician ili na wewe uzifaidi, au endelea na business zako.
Kwa serikali yetu hilo usilitegemee saaana! ndio maana nikasema cha kuangalia hapo ni kama hazijachakachuliwa; najua mpaka zimefika shuleni humo njiani zimeshawatajirisha wengi.ingebidi basi tufahamishwe mahsusi kupitia vyombo husika ni jinsi gani, na kiasi gani hiyo capitation mashuleni ilivyofanyika ili kuondoa shaka juu ya matumizi ya hizo fedha.
Uuji ,citabu.....ndo maana umepata ziro