Ile chenji ya Rada imeishia wapi?

Ile chenji ya Rada imeishia wapi?

Imetunzwa kwa ajili ya uchaguzi wa 2015 kuhonga na kuchapa bendera, kanga, kofia na tshirts
 
Serikali wakati inaifuatilia hii chenji ya Rada ili tuahidi mambo mazuri kweli kuwa itanunua vitabu mashulen, kutengeneza madawati pamoja na kujenga nyumba za Walimu lakini toka hii chenji wapewe naona kimya tuu! Serikali haisemi chochote kuhusu hizi pesa . Au ndo changa la macho, wakubwa( magamba) walishagawana? Mwenye taarifa kuhusu hili naomba anisaidie.
 
siyo changa la macho!! majambazi haya hayana huruma! unajua shule za msingi hazipati tena mgao wa fedha za vitabu kwa miaka mitatu sasa? Eti hawa wezi walisema waliacha ile 40% wakiwa wanasema watanunua vitabu wenyewe na sasa ni historia!! Elimu imezikwa!!!!!!!!!!!!!!!!!! UUUWIIIIIIIIIIIIIIII 2015 iwe kesho!!!!!!!
 
Back
Top Bottom