Kama zipi Mkuu?Ngoja tusikie maoni ya UKAWA kwanza, we kijana huenda unapotosha, elewa kuna juhud za Mhe Lema.
Kama zipi Mkuu?
Hebu muulize huyo mzandiki munayemuita M.kiti wa CCM Ars hizi ahadi hapa chini zimetekelezwa au ahadi hizi haziangukii Arusha?
68. Kuwapokonya eneo TanzaniteOne baada ya 2012
63. Ahadi hakutakuwa na umwagaji wa damu baada ya uchaguzi
44. Tatizo la umeme kufikia kikomo Novemba mwaka huu mkoani Arusha Arusha mjini
46. Kuwapatia maji wakazi wa Wilaya ya Longido- Longido
47. Kujenga barabara ya lami kupitia pembezoni mwa Hifadhi ya Taifa ya Seregenti Ngorongoro
49. Kusambaza maji nchi nzima-Babati vijijini
43. Kuwafidia wanakijiji ngombe waliopotea wakati wa ukame mwaka 2009
Alichotekeleza ni kutomtupa mshikaji wake alokuwa akigombea ubunge Ars mjini akapigwa chini na Lema kwa kumpatia kaulaji hapa Nairobi.Uyo mwenyekiti wao ana ile minyoo inayomsababisha kusema uwongo kwani huwa na tabia ya ku-revert ukweli.Ila mpeni pole mkimuona.
Mkuu, lema kasaidia sana kuwabana wabadhilifu wa public fund pale manispaa, pia uthubutu wa Lema kuwaamsha wananchi kutetea haki zao umepelekea uwajibikaji kwa viongozi Arusha, Pia kitendo cha Lema kusomesha watoto wasiojiweza na mengine mengi kupelekea maendeleo Arusha.
Rais hapa hausiki kamanda.
Mkuu, lema kasaidia sana kuwabana wabadhilifu wa public fund pale manispaa, pia uthubutu wa Lema kuwaamsha wananchi kutetea haki zao umepelekea uwajibikaji kwa viongozi Arusha, Pia kitendo cha Lema kusomesha watoto wasiojiweza na mengine mengi kupelekea maendeleo Arusha.
Rais hapa hausiki kamanda.
Mkuu lema haingiagi manispaa maana meya ni feki au wakichina
Kuhusu watoto uleulikuwa ni utapeli na mbunge baada ya kupiga hizo pesa za mayatima kajenga hekalu lake pale njiro
Muulize lema mwaka huu kalipiwa yupi ajikupa mmoja. Tuu njoo inibox nakupa m.1
Mkuu kumbe na wewe unafahamu hii habari. Hao watoto 1000 LEMA anawasomeshea shule ipi?
Teh Teh Teh! Kipindi kile cha 2011 alikuwa anapita kwenye maduka ya wahindi kule UHURU ROAD na kuchangisha fedha eti kwa ajili ya kusomesha yatima. Enzi hizo bado walikuwa hawajamshtukia.Mkuu naifahamu Sana tuu kwani hiyo dili tangu istukiwe kaogopa kupita mjini kuchangisha tena maana wanaochangisha wanauliza zilikoenda
Wenyeviti wa mitaa aliyo sema waaandikishe watoto kaulize kama kaandikishwa nani?
YUKO WAPI KUTEKELEZA RUVUMA,RUKWA,TABORA na kwingineko huyo JK fake wenu? Acheni unafki enyi magamba. Unadhani kwanini majimbo mengi yanayongozwa na ccm yako chini kimaendeleo??? Jibu unalo.