Ilani ya na ahadi za Kikwete Arusha zimetekelezwa kwa 100%

Mkya

JF-Expert Member
Dec 15, 2013
667
94
Akihojiwa jionini hii Mwenyekiti wa UVCCM Arusha mjini Martin Munisi amesema Ahadi zote za Raisi tayari na ilani ya uchaguzi ya ccm zimetekelezwa kwa hapa Arusha

Square Arusha one Radio
 
kikwete amesababisha jiji la Arusha limekuwa na hadhi ya kimataifa.. barabara za lami kila mtaa.. kama sio vurugu na maandamano jiji la arusha lingekuwa juu sana kiuchumi
 
LEMA alimkwamisha sana Rais Kikwete kutuletea maendeleo Arusha, Tungekuwa na Mbunge mwenye akili timamu tungefika mbali zaidi ya hapa. Hongera Rais.
 
Kama zipi Mkuu?

Mkuu, lema kasaidia sana kuwabana wabadhilifu wa public fund pale manispaa, pia uthubutu wa Lema kuwaamsha wananchi kutetea haki zao umepelekea uwajibikaji kwa viongozi Arusha, Pia kitendo cha Lema kusomesha watoto wasiojiweza na mengine mengi kupelekea maendeleo Arusha.

Rais hapa hausiki kamanda.
 
Hebu muulize huyo mzandiki munayemuita M.kiti wa CCM Ars hizi ahadi hapa chini zimetekelezwa au ahadi hizi haziangukii Arusha?

68. Kuwapokonya eneo TanzaniteOne baada ya 2012
63. Ahadi hakutakuwa na umwagaji wa damu baada ya uchaguzi
44. Tatizo la umeme kufikia kikomo Novemba mwaka huu mkoani Arusha –Arusha mjini
46. Kuwapatia maji wakazi wa Wilaya ya Longido- Longido
47. Kujenga barabara ya lami kupitia pembezoni mwa Hifadhi ya Taifa ya Seregenti – Ngorongoro
49. Kusambaza maji nchi nzima-Babati vijijini
43. Kuwafidia wanakijiji ng'ombe waliopotea wakati wa ukame mwaka 2009

Alichotekeleza ni kutomtupa mshikaji wake alokuwa akigombea ubunge Ars mjini akapigwa chini na Lema kwa kumpatia kaulaji hapa Nairobi.Uyo mwenyekiti wao ana ile minyoo inayomsababisha kusema uwongo kwani huwa na tabia ya ku-revert ukweli.Ila mpeni pole mkimuona.

Hebu muulize huyo mzandiki munayemuita M.kiti wa CCM Ars hizi ahadi hapa chini zimetekelezwa au ahadi hizi haziangukii Arusha?

68. Kuwapokonya eneo TanzaniteOne baada ya 2012
63. Ahadi hakutakuwa na umwagaji wa damu baada ya uchaguzi
44. Tatizo la umeme kufikia kikomo Novemba mwaka huu mkoani Arusha –Arusha mjini
46. Kuwapatia maji wakazi wa Wilaya ya Longido- Longido
47. Kujenga barabara ya lami kupitia pembezoni mwa Hifadhi ya Taifa ya Seregenti – Ngorongoro
49. Kusambaza maji nchi nzima-Babati vijijini
43. Kuwafidia wanakijiji ng’ombe waliopotea wakati wa ukame mwaka 2009

Vua miwani uliyovaa mkuu au umeshaa piga value amesema jiji siyo mkoa au wilaya ya Arusha mjini soma post vizuri
 
Mkuu, lema kasaidia sana kuwabana wabadhilifu wa public fund pale manispaa, pia uthubutu wa Lema kuwaamsha wananchi kutetea haki zao umepelekea uwajibikaji kwa viongozi Arusha, Pia kitendo cha Lema kusomesha watoto wasiojiweza na mengine mengi kupelekea maendeleo Arusha.

Rais hapa hausiki kamanda.

Mkuu lema haingiagi manispaa maana meya ni feki au wakichina

Kuhusu watoto uleulikuwa ni utapeli na mbunge baada ya kupiga hizo pesa za mayatima kajenga hekalu lake pale njiro

Muulize lema mwaka huu kalipiwa yupi ajikupa mmoja. Tuu njoo inibox nakupa m.1
 
  • Mkuu LEMA anawabanaje wabadhirifu ilhali kwenye vikao vya madiwani hahudhurii?
  • Mkuu mimi niko Arusha, nafahamu jinsi jamii inavyomtazama LEMA, hili la kuwaamsha sio kipaumbele chao, na off course hawakuwa wamelala, kusema LEMA ndio kawaamsha ni dharau kwa wana-arusha.
  • Mkuu mtu yeyote asikudanganye kuwa LEMA amewahi kusomesha mtoto wa mtu asiyejiweza hapa Arusha. Huwa wanasema tu kwenye majukwaa ya siasa kuwa wanasomesha watoto yatima lakini hakuna kitu kama hicho.
 
Mkuu lema haingiagi manispaa maana meya ni feki au wakichina

Kuhusu watoto uleulikuwa ni utapeli na mbunge baada ya kupiga hizo pesa za mayatima kajenga hekalu lake pale njiro

Muulize lema mwaka huu kalipiwa yupi ajikupa mmoja. Tuu njoo inibox nakupa m.1

Mkuu kumbe na wewe unafahamu hii habari. Hao watoto 1000 LEMA anawasomeshea shule ipi?
 
YUKO WAPI KUTEKELEZA RUVUMA,RUKWA,TABORA na kwingineko huyo JK fake wenu? Acheni unafki enyi magamba. Unadhani kwanini majimbo mengi yanayongozwa na ccm yako chini kimaendeleo??? Jibu unalo.
 
Mkuu naifahamu Sana tuu kwani hiyo dili tangu istukiwe kaogopa kupita mjini kuchangisha tena maana wanaochangisha wanauliza zilikoenda

Wenyeviti wa mitaa aliyo sema waaandikishe watoto kaulize kama kaandikishwa nani?
 
Sisi tumeizungumzia Arusha yetu runayoishi
 
Mkuu naifahamu Sana tuu kwani hiyo dili tangu istukiwe kaogopa kupita mjini kuchangisha tena maana wanaochangisha wanauliza zilikoenda

Wenyeviti wa mitaa aliyo sema waaandikishe watoto kaulize kama kaandikishwa nani?
Teh Teh Teh! Kipindi kile cha 2011 alikuwa anapita kwenye maduka ya wahindi kule UHURU ROAD na kuchangisha fedha eti kwa ajili ya kusomesha yatima. Enzi hizo bado walikuwa hawajamshtukia.
 
YUKO WAPI KUTEKELEZA RUVUMA,RUKWA,TABORA na kwingineko huyo JK fake wenu? Acheni unafki enyi magamba. Unadhani kwanini majimbo mengi yanayongozwa na ccm yako chini kimaendeleo??? Jibu unalo.

Kule kwa Tundu Lissu vipi? Wako juu kimaendeleo? Hujaona watoto wanakalia mawe darasani kwa sababu ya uzembe na hila za Tundu Lissu kukwamisha maendeleo?
 
Back
Top Bottom