Ilani ya na ahadi za Kikwete Arusha zimetekelezwa kwa 100%

LEMA alimkwamisha sana Rais Kikwete kutuletea maendeleo Arusha, Tungekuwa na Mbunge mwenye akili timamu tungefika mbali zaidi ya hapa. Hongera Rais.
sijawahi ona uwongo kama huu,eti jk ametimiza ahadi?labda ushuz.hakuna alichofanya mana pesa za barabara zimetolewa mara nyini na benk ya dunia zikaliwa,ameingia lema wakaona tukila tutaliwa,ndo lami ikawekwa.muache uwongo magamba.
 
Mkuu, lema kasaidia sana kuwabana wabadhilifu wa public fund pale manispaa, pia uthubutu wa Lema kuwaamsha wananchi kutetea haki zao umepelekea uwajibikaji kwa viongozi Arusha, Pia kitendo cha Lema kusomesha watoto wasiojiweza na mengine mengi kupelekea maendeleo Arusha.

Rais hapa hausiki kamanda.

Punguza mahaba mkuu , unaonekana kichekesho sasa, Lema anamuda gani katika ubunge wake?
Hehehe hao alowasomesha soon hivi wamefika angalau 100 tu?
 
LEMA alimkwamisha sana Rais Kikwete kutuletea maendeleo Arusha, Tungekuwa na Mbunge mwenye akili timamu tungefika mbali zaidi ya hapa. Hongera Rais.
Kanye ulale! Huna jipya! Kwa uharo wako hapa JF unastahili adhabu kama hii:
bees.jpg
 
Majambazi ya ssm utayajua tu! Kila jambo ni kulazimisha tu, hata kama halipo au halija fanyika utaambiwa limefanyika na lipo.
Tumewastukia, tutakula nanyi sahani moja 2015.
 
Kule kwa Tundu Lissu vipi? Wako juu kimaendeleo? Hujaona watoto wanakalia mawe darasani kwa sababu ya uzembe na hila za Tundu Lissu kukwamisha maendeleo?

Bagamoyo shule za msingi hazifai hata kuwaweka panya,sasa sijui huko nako yuko mpinzani?Tufike mahali tuwe wa moja serikali inalazimika kujenga shule bora na kuziweka kuwa kwenye mazingira mazuri ya watoto wetu kusomea.Wabadhirifu wa mali za umma na raslimali za Taifa washikwe na wapewe haki zao.Serikali iwe macho kuzuia wizi na ubadhirfu huu!

Tanzania ni nchi tajiri sana kama viongozi wetu wakitenda haki na kuacha kukwapua kila kitu kwa ajili ya matumbo yao.

Samahani niko kiTaifa zaidi na sijali CHAMA,kwangu Tanzania kwanza mengine baadaye.
 
Kule kwa Tundu Lissu vipi? Wako juu kimaendeleo? Hujaona watoto wanakalia mawe darasani kwa sababu ya uzembe na hila za Tundu Lissu kukwamisha maendeleo?
Unakunya kwenye key board maana muda wote umo humu ka huna kazi town katafute shamba ujiingizie kipato kwa njia halali
 
Kule kwa Tundu Lissu vipi? Wako juu kimaendeleo? Hujaona watoto wanakalia mawe darasani kwa sababu ya uzembe na hila za Tundu Lissu kukwamisha maendeleo?

Mkuu pale chalinze nasikia wanakalia sofa ni kweli? maana kule ndo kwa mkuu wa kaya
 
LEMA alimkwamisha sana Rais Kikwete kutuletea maendeleo Arusha, Tungekuwa na Mbunge mwenye akili timamu tungefika mbali zaidi ya hapa. Hongera Rais.
uwe unatumia akili japo kidogo, soma hapa mwezio anasema nini;
Akihojiwa jionini hii Mwenyekiti wa UVCCM Arusha mjini Martin Munisi amesema Ahadi zote za Raisi tayari na ilani ya uchaguzi ya ccm zimetekelezwa kwa hapa Arusha

Square Arusha one Radio
Huoni unapingana na mleta mada? Tatizo lako unashinda hapa mtandaoni na kuandika mambo mengi ya kipuuzi hata bila hata kufikiri! Akili yako inakudanganya kwamba kwa hizo juhudi zako za kijinga unakisaidia chama chenu cha Intarahamwe!
 
kikwete amesababisha jiji la Arusha limekuwa na hadhi ya kimataifa.. barabara za lami kila mtaa.. kama sio vurugu na maandamano jiji la arusha lingekuwa juu sana kiuchumi
Vipi mkuu, ile post ya jana kuhusu taarifa kutoka kwa rafiki yako wa usalama wa taifa na ukawa, mambo yameendaje? au ulikuwa unajaribisha kupandisha chati yako?
 
kama ni ahadi za huyo msanii,hebu twambie kilichomfanya asitekeleze katika awamu ya kwanza ya uongozi wate tena akiwa na mbunge gamba 2005 - 2010 ni nini??? Ukweli lazima usemwe tu,yaliyoshindikana kwa miaka 50 ya uhuru wa Mtanganyika kwa Lemma yamewezekana ndani ya kipindi kifupi. Mchwa uliokuwa unaitafuna halmashauri ya jiji la Arusha sasa umedhibitiwa na ndio maana maendeleo yanaonekana.
 
Ww kilaza lini lema kaingia halmashauri wakati anasema meya ni feki
 
Akihojiwa jionini hii Mwenyekiti wa UVCCM Arusha mjini Martin Munisi amesema Ahadi zote za Raisi tayari na ilani ya uchaguzi ya ccm zimetekelezwa kwa hapa Arusha

Square Arusha one Radio

Kwa kuwa Watazania tumezoweshwa na tukazoea LIP SERVICES hata hili tamko la M/Kiti wa UVCCM Arusha tutalichukulia AS A WORD OF GOD (Unquestionable). Lakini kama tungekuwa makini, tugemtaka huyo M/Kiti wa UVCCM atuorodheshee hizo AHADI na ILANI za JK kwa Arusha, halafu Sisi Watanzania makini ndio tungepima kama zimetekelezwa kwa kiwango gani? i.e. 20%, 40%, 80%, 100%. Lakini kutoa blanket statement hiyo ni uvivu wa kutopenda kufikiri. Lakini pia wale wote watakaoiamini hiyo blanket statement as a word of God ni Wavivu zaidi wa kufikiri kuliko mtoa statement mwenyewe.
 
Pesa ya kujengea barabara za mji wa arusha zilitolewa na world bank miaka zaid ya 8 iliyopita.alivyoingia lema kazifuatilia na ujenzi ndio ukafanyika.Kazi yenu maccm ni kusema arusha hakuna amani,huo ni uongo na wakazi wa arusha ndio wanajua kinachoendelea na lema amefanya nini mpaka sasa.Swala la kujenge Hekalu ni swala la mtu binafsi.kama mshahara na posho anapata kila mwezi kwanini hasijiwekee makazi yake bora?HUO NI WIVU TU WA MAENDELEO YA MTU.Wangapi humu mnajenga na kununua magari kwa kutumia mishahara na per diem zenu na watu hawasemi?mbunge akifanya hayo eti ni kosa.Mnataka hekalu akalijengu nyumbani kwenu?mbunge lazima aishi vizuri maana anapata maslai mazuri.
Wabunge wa ccm, mbona ni matajiri wa kutupa na wote wamejenga na wanaishi dar?Kinana mwenyewe ni wa arusha,lakini haishi arusha,anamameli na tembo wetu anachukua na mmekaa kimya.Ila akitokea mbunge wa upinzani akifanya maensdeleo yake kidogo mnaanza kelele
 
LEMA alimkwamisha sana Rais Kikwete kutuletea maendeleo Arusha, Tungekuwa na Mbunge mwenye akili timamu tungefika mbali zaidi ya hapa. Hongera Rais.

Asingekuwa lema hata hayo maendeleo kidogo yasingekuwepo,ccm ni wabinafsi tu,kazi yao ni kunenepesha matumbo yao bila kuwajali wananchi,hongera sana mh lema
 
Back
Top Bottom