Ilani ya chadema ni nzuri, sema una uwezo mdogo kiakili kuelewa mambo mazito na complex. Aliyekuambia ubora wa andiko unapimwa kwa wingi wa kurasa ni nani?Ilani ya chadema ni fupi kama kimini cha joyce wowowo ata tiketi ya dar lux ina page nyingi kuishinda.
Mtu akikwita wewe ni CCM atakuwa amekutukana zaidi ya tusi lolote la nguoni maana atakuwa amekufananisha na mleta mada, huyu na wanalumumba wote.Ilani ya chadema haikuandikwa na watanzania iliandikwa ulaya ndio maana wanasema hawataki maendeleo ya vitu pia hawatakusanya kodi ila wataweka rehani madini yetu ili wakope wapate pesa za kuendesha serikali pia wao hawataki umoja wa kitaifa wanasema nchi wataivunja vipande vipande kwenye majimbo ambapo raisi hatakuwa na nguvu kwenye majimbo
pia wanatamka serikali itakuwa marufuku kufanya biashara kila kitu kitaendeshwa na sekta binafsi wanataka turudi kule kule kwa mifisadi ya umeme ya IPTL,RICHMOND NK