Uchaguzi 2020 Ilani ya CHADEMA haijitoshelezi!

Status
Not open for further replies.
Ile ILAN au gazeti la Sani imejaa makatuni Tuu ya Akina lodlofa na kipepe
 
Bekiri Mimi 'Kisera' siwakubali Wapinzani wa Tanzania ila sijafikia na naomba kwa Mungu nisifikie kusema kuwa Ilani yao ni Takataka. Nimesikitika!!
 
We ni CCM unategamea ungeleta uzi gani
FB_IMG_1602745454473.jpeg
 
Ilani ya chadema ni fupi kama kimini cha joyce wowowo ata tiketi ya dar lux ina page nyingi kuishinda.
Ilani ya chadema ni nzuri, sema una uwezo mdogo kiakili kuelewa mambo mazito na complex. Aliyekuambia ubora wa andiko unapimwa kwa wingi wa kurasa ni nani?
 
Mkuu naungana na wewe ila hata hapo kwenye dampo ni kama umewafanyia upendeleo hiyo ilani ni ya kuiflash kabisa iingie kwenye shimo la maji taka.
 
Ilani ya chadema haikuandikwa na watanzania iliandikwa ulaya ndio maana wanasema hawataki maendeleo ya vitu pia hawatakusanya kodi ila wataweka rehani madini yetu ili wakope wapate pesa za kuendesha serikali pia wao hawataki umoja wa kitaifa wanasema nchi wataivunja vipande vipande kwenye majimbo ambapo raisi hatakuwa na nguvu kwenye majimbo

pia wanatamka serikali itakuwa marufuku kufanya biashara kila kitu kitaendeshwa na sekta binafsi wanataka turudi kule kule kwa mifisadi ya umeme ya IPTL,RICHMOND NK
Mtu akikwita wewe ni CCM atakuwa amekutukana zaidi ya tusi lolote la nguoni maana atakuwa amekufananisha na mleta mada, huyu na wanalumumba wote.
 
Wewe umesoma vizuri ilani ya maccm? Iko kama taarifa ya utekelezaji haielezi nini kitafanyika 2020 - 2025! Nyoko kabisa maccm! Kati ya ilani hopeless hiyo ndiyo bure kabisa!
 
Status
Not open for further replies.
19 Reactions
Reply
Back
Top Bottom