Ila wanawake mna dhambi wakati mwingine

Ila wanawake mna dhambi wakati mwingine

Nakumbuka kuna sikukuu moja huko nyuma. Kuna manzi mmoja alinitesa sana lk mwishoe akaja kuchanuaa....

Sasa siku hiyo tulipanga kwenda club, mida ya saa 4 nampigia sim ananiambia kashajiandaa yupo na rafiki yake wananisubiri....

Aliishia kuandika msg kibao za kulaumu na matusi zisizojibiwaa....

Unanipaje bajeti ambayo sikuwa nayo?

Ujamaa ushapitwa na wakati aisee...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna jamaa yangu mwaka.2004 alimuita mrembo wake pale Landmark Hotel Ubungo. Ilikuwa ndo first date hata tunda alikuwa hajala bado.. Mfukoni alikuwa na laki na 30. Mipango yake .
Pombe na misosi elfu thelathini. Lodge elfu 30 na.posho ya mrembo elfu 30.

Mrembo kaja na behewa. Kaja yeye, mdogo wake wa kike, rafiki zake wawili mmoja kaja na boyfriend.

Jamaa kasema usinitanie. Kamuita muhudumu kamwambia tuletee soda moja moja na mshikaki mmoja mmoja. Hakuwapa nafasi ya kuagiza wanacho taka..walivyo maliza kula wakaaga na kuondoka

Hata hivyo jamaa alihamishia mtaro KWA mmoja kati ya mademu walioenda na rafiki zake
Hio ndio njia palikuwa hamna namna zaidi ya kuhamisha majeshi kwanza mimi wallet ikiwa njema basi outing namuambia Manzi aje na lundo la wenzie, Na wakishakunywa mipombe apo ntatindua ilo rundo mdogo mdogo mpaka linaisha mwezi hauishi nimelimaliza
 
Hio ndio njia palikuwa hamna namna zaidi ya kuhamisha majeshi kwanza mimi wallet ikiwa njema basi outing namuambia Manzi aje na lundo la wenzie, Na wakishakunywa mipombe apo ntatindua ilo rundo mdogo mdogo mpaka linaisha mwezi hauishi nimelimaliza
Yeah that's I what is supposed to be. Never be a goody goody boy
 
Tatizo wanaume mnabeba LIGI siyo zenu, mwisho wa siku unaishia kujitutumua na maumivu kibao, jeuri ya kuongea huna maana unamuogopa ni m'mke wa mjini na unampenda sana mpk analijua hilo. Huo ni UBWEGE FIRST CLASS
 
Mimi nikikutoa halafu ukaja na rafiki yako basi jiandae kiakili

mwanza
 
Shiriki league za viwango vyako, sio kuipeleka Singida united ikacheze Serie A au La liga.
 
nilimpata mmoja akaniambia Kwanza acha kunywa pombe sikumuelewa ana maana gani. Ila niliacha kweli. Cha pili akaniambia mitoko yote atagharamia yeye nikadhani nguvu ya soda lakini aliweza kugharamia mpaka sehemu ya kugegedana yenye hadhi ya kueleweka. Cha tatu akaniambia sasa hiyo hela yako fanyia kitu cha maana kwa ajili yetu na watoto wetu tutakaowapata. Sikujishauri mara mbili, nilienda kwao nikatoa mahari na nikafuata taratibu zote .Kwa sasa ndio mke wangu..[/QUOTE]



Sent using Jamii Forums mobile app
 
dooh wakati sisi tuliwahi panda bajaji mchana kabisa nikawa n.a. foleni tulikua wadada watatu n.a. kaka mmoja dereva tulishuka n.a. kuinyanyua bajaji tukaweka service road hao tukatimua..sasa yeye usiku girlfriend hatoki hajui muhimu wa kusukumwa gari likizingua....pole yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo wanaume mnabeba LIGI siyo zenu, mwisho wa siku unaishia kujitutumua na maumivu kibao, jeuri ya kuongea huna maana unamuogopa ni m'mke wa mjini na unampenda sana mpk analijua hilo. Huo ni UBWEGE FIRST CLASS

Wala sio ligi kubwa hao wanawake, basi tu ni uslay queen usio na maana. Wengi huwa wana njaa hadi kwenye kope, basi tu wanataka kututia umaskini watoto wa wanawake wenzio.

Ila, kuna mmoja nilimnyoosha, hadi Leo huwa ananiita janja janja, anaishiaga kusema girlfriend wako ana bahati.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hahahh safi sana,kila leo mnajisifu kuwa hakuna mademu Wa kuoa,ni kugonga na kusepa,sasa kwanini binti ajitese wakati nia yenu inafahamika?
Binti mjanja atakuchuna mapema hata ukimtumia na kumbwaga haon hasara,maneno mabovu mnayowatolea mabinti kila Leo,haya ndio matunda yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom