Ila wanawake mna dhambi wakati mwingine

Ila wanawake mna dhambi wakati mwingine

Inaonekana katumia nguvu nying kumpata huyo dada so anaogopa kumlate down
😀😀😀, huyo mwanaume naye alishindwaje kuwa muwazi kwa GF wake kwamba mfuko wake kwa leo ni kiasi fulani, ili wajiongeze na huyo shosti ake ktk matumizi , sasa sijui alitaka sifa ili aonekane yuko vizuri,Pole yake ila siku nyingine akili itamkaa sawa.
 
Ndo maana %kubwa ya wadada wanaishia kuliwa tuu, kwa style hiyo unategemea mwanaume atangaze ndoa? Mnazidisha njaa sana acha tuwale tuu sasa,,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee kumbe wewe ndio ulikuwa unahangaika na ka ist jana pale magomeni? Aisee pole sana kwa yaliyokukuta, saa nyingine waambieni wawakute au muwakute huko huko kwenye bata zenu kuepuka hii fedheha ya kuzimiwa na vigari vyenu vibovu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inaonekana katumia nguvu nying kumpata huyo dada so anaogopa kumlate down
kwakweli nadhani kuna mazingira flani ya kishua kamzoesha tangu mwanzo ndyo maana hata bidada haoni shida kumpitia na shosti ake waende wote bila kujali he's financially stable or not, anajua babe pesa ipoo. nimecheka na gari ilivozima eti ikasukumwa wenyewe wakiwa ndani duuh
 
kwakweli nadhani kuna mazingira flani ya kishua kamzoesha tangu mwanzo ndyo maana hata bidada haoni shida kumpitia na shosti ake waende wote, anajua babe pesa ipoo. nimecheka na gari ilivozima eti ikasukumwa wenyewe wakiwa ndani duuh
Ha ha ha ha jamaa kaka kwenye folen kiyoyoz kinazizma tu akaona atatia aibu acha azime gar kumbe anaongeza balaa
 
Nimeishuhudia jana hii jana kwa rafiki yangu wa karibu,

Upo na gari yako (IST) umetoka job ukampitia Girlfriend wako mkale bata na kutoa machungu ya kazi za wiki nzima. Girlfriend wako ni type flani hivi za wanawake wa kimjinimjini, anaamua pia kwenye mtoko huo aungane na best yake wanafanya kazi pamoja.

Paaaaaaap, kidume unawapitia gari; Girlfriend wako anakaa siti ya mbele na best yake anakaa siti ya nyuma. Unafika Magomeni bahati mbaya kuna foleni ya magari, unasubir dakika kama 20 hiv unaona foleni haijaruhusiwa. Unapandwa na hasira unaamua kuzima gari, punde kama dakika tano tena unaona foleni inaruhusiwa, unaamua kuwasha gari lakini linagoma kuwaka.

Solution inakuwa ni kusukuma gari na kuliweka pembeni, kwakuwa wewe unakifua kama kabati unaona ukimpata mtu mmoja anatosha kabisa kukusaidia mkasukuma gari mkaliweka pembeni.

Wakati huo huo GF wako na best yake, wameona kabisa kwamba unahitaji msaada na wangeweza kabisa kutoka na kukusaidia kusukuma gari na kulipaki pembeni, ila wanaamua tu kuua soo na kutoa simu zao na kusurfsurf.

Huku nyuma kidume unampata teja mmoja unamtoa jero anaamua kukusaidia. Mnaanza kusukuma gari na kumsukuma na GF wako na best yake. Unafanikiwa kulipak pembeni hapo hapo unafanya mpango fundi mara moja halafu anaweka mambo sawa unaendelea na safari yako ya kula bata.

Kwa kuwa demu wako ni wa kimjinimjini unaamua kwenda nae lachaz pale, baada ya kuvuja jasho ya kusukuma gari unaanza pia kuvuja jasho kwenye upande wa wallet maana unagundua shot wanazopiga ni za kiwango cha first class.

Baada ya masaa manne unagundua kwamba bajeti iliyopo kwenye wallet haiwez kuhimili hii ligi ya kiwango cha La Liga cha huyu GF wako na best yake.

Kidume unaanza kusumbua washkaji saa sita usiku wakutumuie walau laki moja ili mechi iishe salama...

Kweli nyinyi wanawake nadhani kuna jehanamu yenu maalumu inawasubiri
To describe that guy by one word he is " bwege"
 
To describe that guy by one word he is " bwege"
Ndio tabu ya kuchukua mwanamke high class hadi unakuwa unamuogopa hivi mwanaume unashindwa vipi kumwambia mwanamke wako no, budget yangu haitoshi watu watatu tena mtu umeenda kuwachukua mwenyewe si kwamba uliwakuta huko au ulishtukia tu wamefika wawili dah wanaume wa hiki kizazi mnasikitisha sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio tabu ya kuchukua mwanamke high class hadi unakuwa unamuogopa hivi mwanaume unashindwa vipi kumwambia mwanamke wako no, budget yangu haitoshi watu watatu tena mtu umeenda kuwachukua mwenyewe si kwamba uliwakuta huko au ulishtukia tu wamefika wawili dah wanaume wa hiki kizazi mnasikitisha sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah sure and when u put a stop at the end of the word No it is a complete sentence u dont need to add but
 
Back
Top Bottom