Ila wanawake mna dhambi wakati mwingine

Ila wanawake mna dhambi wakati mwingine

Asante lakini sijaweka but

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna jamaa yangu mwaka.2004 alimuita mrembo wake pale Landmark Hotel Ubungo. Ilikuwa ndo first date hata tunda alikuwa hajala bado.. Mfukoni alikuwa na laki na 30. Mipango yake .
Pombe na misosi elfu thelathini. Lodge elfu 30 na.posho ya mrembo elfu 30.

Mrembo kaja na behewa. Kaja yeye, mdogo wake wa kike, rafiki zake wawili mmoja kaja na boyfriend.

Jamaa kasema usinitanie. Kamuita muhudumu kamwambia tuletee soda moja moja na mshikaki mmoja mmoja. Hakuwapa nafasi ya kuagiza wanacho taka..walivyo maliza kula wakaaga na kuondoka

Hata hivyo jamaa alihamishia mtaro KWA mmoja kati ya mademu walioenda na rafiki zake
 
Mimi nilimpata mmoja akaniambia Kwanza acha kunywa pombe sikumuelewa ana maana gani. Ila niliacha kweli. Cha pili akaniambia mitoko yote atagharamia yeye nikadhani nguvu ya soda lakini aliweza kugharamia mpaka sehemu ya kugegedana yenye hadhi ya kueleweka. Cha tatu akaniambia sasa hiyo hela yako fanyia kitu cha maana kwa ajili yetu na watoto wetu tutakaowapata. Sikujishauri mara mbili, nilienda kwao nikatoa mahari na nikafuata taratibu zote .Kwa sasa ndio mke wangu..
Mkuu vipi hana mdogo wake huyo?
 
Safi sana

Huyo ndio mwanamume sasa. Maamuzi magumu bila kupepesa macho. Muhuni katumia elf 15 tu kulisha kijiji kizima! 😀😀😀😀
 
Mzee tunachotakiwa kujua kama hauna kitu ni hauna...kikubwa ni kuwa mkweli na kusema siwezi kuhimili.
Ukiwa mkwel kwa so called mpz wako haina shida shuhul.ukijifanya wakishua huku simu za washkaj lundoo unapiga wakusave
 
Nimeishuhudia jana hii jana kwa rafiki yangu wa karibu,

Upo na gari yako (IST) umetoka job ukampitia Girlfriend wako mkale bata na kutoa machungu ya kazi za wiki nzima. Girlfriend wako ni type flani hivi za wanawake wa kimjinimjini, anaamua pia kwenye mtoko huo aungane na best yake wanafanya kazi pamoja.

Paaaaaaap, kidume unawapitia gari; Girlfriend wako anakaa siti ya mbele na best yake anakaa siti ya nyuma. Unafika Magomeni bahati mbaya kuna foleni ya magari, unasubir dakika kama 20 hiv unaona foleni haijaruhusiwa. Unapandwa na hasira unaamua kuzima gari, punde kama dakika tano tena unaona foleni inaruhusiwa, unaamua kuwasha gari lakini linagoma kuwaka.

Solution inakuwa ni kusukuma gari na kuliweka pembeni, kwakuwa wewe unakifua kama kabati unaona ukimpata mtu mmoja anatosha kabisa kukusaidia mkasukuma gari mkaliweka pembeni.

Wakati huo huo GF wako na best yake, wameona kabisa kwamba unahitaji msaada na wangeweza kabisa kutoka na kukusaidia kusukuma gari na kulipaki pembeni, ila wanaamua tu kuua soo na kutoa simu zao na kusurfsurf.

Huku nyuma kidume unampata teja mmoja unamtoa jero anaamua kukusaidia. Mnaanza kusukuma gari na kumsukuma na GF wako na best yake. Unafanikiwa kulipak pembeni hapo hapo unafanya mpango fundi mara moja halafu anaweka mambo sawa unaendelea na safari yako ya kula bata.

Kwa kuwa demu wako ni wa kimjinimjini unaamua kwenda nae lachaz pale, baada ya kuvuja jasho ya kusukuma gari unaanza pia kuvuja jasho kwenye upande wa wallet maana unagundua shot wanazopiga ni za kiwango cha first class.

Baada ya masaa manne unagundua kwamba bajeti iliyopo kwenye wallet haiwez kuhimili hii ligi ya kiwango cha La Liga cha huyu GF wako na best yake.

Kidume unaanza kusumbua washkaji saa sita usiku wakutumuie walau laki moja ili mechi iishe salama...

Kweli nyinyi wanawake nadhani kuna jehanamu yenu maalumu inawasubiri
Kama huyo mhusika sio wewe basi mwambie huyo rafiki yako aache maboblish ya kiduanze. Kama hela hana awe real sio kuazima gari mbovu kisa aoshee kwamba matawi na hela za mawazo kisha anakuja kulia lia kiboya!
 
Mimi nilimpata mmoja akaniambia Kwanza acha kunywa pombe sikumuelewa ana maana gani. Ila niliacha kweli. Cha pili akaniambia mitoko yote atagharamia yeye nikadhani nguvu ya soda lakini aliweza kugharamia mpaka sehemu ya kugegedana yenye hadhi ya kueleweka. Cha tatu akaniambia sasa hiyo hela yako fanyia kitu cha maana kwa ajili yetu na watoto wetu tutakaowapata. Sikujishauri mara mbili, nilienda kwao nikatoa mahari na nikafuata taratibu zote .Kwa sasa ndio mke wangu..
Alitisha sana, japo mimi siwezi kufanya hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanamke hata hana shida wewe mwanaume ndiye mwenye shida.

Kwanini uvuje jasho kwenye wallet wakati hali yako unaijua?

-Unapotoka kwako unajua leo naenda kutumia 2000 ikiisha nyanyukeni mwondoke.
Wadogo zako wanapenda kujiongeza wakati damu zinawatoka...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli, mwanaume ukiwa na msimamo hata mwanamke anaogopa kuleta ujinga

Sent using Jamii Forums mobile app
Mi mwanamke anaebeba mashosti zake hua namuonaga ni mdangaji tu,
Mwanamke anakupenda kweli hawezi kukufanyia u baradhuli wa namna hio.
Hapo inachotakiwa ni kuelewana atakuuzia kwa shilingi ngapi mkishamaliza kila mmoja anaendelea na utaratibu wake.

Maendeleo hayana chama
 
Hahaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom