Joan lewis
JF-Expert Member
- Jan 3, 2019
- 1,007
- 1,505
Kom
Ndio mana ndoa za sikuhiz Kila wanaoshauri huanzia kwenye point kwamba inaonekana tajiriba zenu hamkutakiwa kuishi pamoja ni ww ulikosea hata kama hawata kwambia Kisha huanzia kujaribu kutengeneza kuanzia hapo.
asavaa tafadhali uko sahihi lakin sio wote. Wanaume mnapolaumu kwamba mapenzi amekukatisha tamaa amekuchefua kumbuka na ww una shida ukashindwa kuchagua mwema. Maana wako so many out there."Its just like discussing Malaria with mosquitos"
Mwanaume kamwe usijitie uchizi kumshirikisha mwanamke atakuvurugia tuuuu hawana mema hawa majituš¤