Ila waislamu bhana

Ila waislamu bhana

Waislamu akili zao bhana ety yesu ni Issa wakat hawa ni watu wawili tofaut kabisa yesu alizaliwa na bikra Maria isa mama yake sijui nani
Yesu alikuwa myahudi issa mwarabu
Yesu alizaliwa kwenye zizi (hori)issa kwenye mtende
Yesu aliponya wagonjwa na vilema issa hakuwahi kuponya hata sisimizi
Yesu hakuna mahari aliongea akiwa mtoto mchanga issa aliongea kumtetea mama yake
Yesu aliteswa na kufa siku ya tatu akafufuka issa alipaaa hakuteswa
Yesu alihubiri kumuhusu mungu issa sijui alikuja kufanya nn😁 kwa ushahidi huu hao watu ni mtu mmoja kweli Waislamu takbriiìiiiiiìiii alahuakibariiiiii
Salammaleko!
 
Back
Top Bottom