Ila waislamu bhana

Ila waislamu bhana

Waislamu akili zao bhana ety yesu ni Issa wakat hawa ni watu wawili tofaut kabisa yesu alizaliwa na bikra Maria isa mama yake sijui nani
Yesu alikuwa myahudi issa mwarabu
Yesu alizaliwa kwenye zizi (hori)issa kwenye mtende
Yesu aliponya wagonjwa na vilema issa hakuwahi kuponya hata sisimizi
Yesu hakuna mahari aliongea akiwa mtoto mchanga issa aliongea kumtetea mama yake
Yesu aliteswa na kufa siku ya tatu akafufuka issa alipaaa hakuteswa
Yesu alihubiri kumuhusu mungu issa sijui alikuja kufanya nn😁 kwa ushahidi huu hao watu ni mtu mmoja kweli Waislamu takbriiìiiiiiìiii alahuakibariiiiii
Uzi umetoka kwenye kichwa chenye Moshi wa Tumbaku kubwa (Bange).
 
Waislamu akili zao bhana ety yesu ni Issa wakat hawa ni watu wawili tofaut kabisa yesu alizaliwa na bikra Maria isa mama yake sijui nani
Yesu alikuwa myahudi issa mwarabu
Yesu alizaliwa kwenye zizi (hori)issa kwenye mtende
Yesu aliponya wagonjwa na vilema issa hakuwahi kuponya hata sisimizi
Yesu hakuna mahari aliongea akiwa mtoto mchanga issa aliongea kumtetea mama yake
Yesu aliteswa na kufa siku ya tatu akafufuka issa alipaaa hakuteswa
Yesu alihubiri kumuhusu mungu issa sijui alikuja kufanya nn😁 kwa ushahidi huu hao watu ni mtu mmoja kweli Waislamu takbriiìiiiiiìiii alahuakibariiiiii
Waache waamini wanachoamini. Imani yao inakuhusu nini ?
 
BIBLIA GANI IMEANDIKWA YESU MAMA AKE ANAITWA MARIA!

HALAFU YESU HAKUZALIWA KWENYE HOLY YA NG'OMBE NENDA KASOME HILO ANDIKO NA PIA TAFUTA TAFSIRI YA NENO HOLY NDIO UJE HAPA
 
Waislamu akili zao bhana ety yesu ni Issa wakat hawa ni watu wawili tofaut kabisa yesu alizaliwa na bikra Maria isa mama yake sijui nani
Yesu alikuwa myahudi issa mwarabu
Yesu alizaliwa kwenye zizi (hori)issa kwenye mtende
Yesu aliponya wagonjwa na vilema issa hakuwahi kuponya hata sisimizi
Yesu hakuna mahari aliongea akiwa mtoto mchanga issa aliongea kumtetea mama yake
Yesu aliteswa na kufa siku ya tatu akafufuka issa alipaaa hakuteswa
Yesu alihubiri kumuhusu mungu issa sijui alikuja kufanya nn😁 kwa ushahidi huu hao watu ni mtu mmoja kweli Waislamu takbriiìiiiiiìiii alahuakibariiiiii

Ukiitaka kuchangia mada sensitive unatakiwa uwe na Elimu ya kutosha na sio story za kijiweni
Kwa taarifa yako ukitaka kujua taarifa za Yesu tangu ana kua na miujiza mbali mbali aliyofanya hadi kuja kuanza kuhubiri waulize waislam.
Labda nikuulize; Biblia inamtaja Yesu akizaliwa, na inakuja kumtaja tena akiwa na umri takriban wa miaka 28....unajua huo umri mwingine (miaka 2- 28) alikuwa anafanya nini??
Au nitajie muujiza wowote alio fanya kipindi hicho akiwa miaka 2 hadi miaka 28?) kwanini imefutwa kwenye Biblia?

Ukitaka kujua miujiza miingi aliyofanya Yesu waulize waislam....Moja ya miujiza ndio sababu Waislam hawali Nguruwe (Kiti moto)
Unajua kwa nini viungo vya Nguruwe ikiwemo Nyama yake inafanana kabisa na ya binadamu kuliko mnyama mwingine yoyote Duniani,? ukiyajua yote hutakaa ule nguruwe!!!
USILETE MADA AMBAYO HUNA ELIMU NAYO!!!
 
Can you make the bridge to relation and then come out into doctrine from the wrong paragraph you note?.

Ili tueleweshane good.
 
MAJIBU YA MASWALI YAKO
1. Ni wapi imeandikwa Issa/Yesu alikuwa Muarabu? Waislam wanamtambua Issa/Yesu kama Myahudi
2. Kwenye Uislam Issa/Yesu amefanya miujiza mingi kuliko iliyo andikwa kwenye Biblia
3. Issa/Yesu Aliongea akiwa mchanga (Kwako haipo kwa kuwa baada ya kuzaliwa vyote mmefuta (delete), mmekuja kuandika habari za Yesu akiwa na takribani miaka 28 akihubiri)
4. Kuzaliwa kwenye Hori/Mtende kusikuchanganye; Hori la kulishia mifugo hujengwa chini ya mti/tende kwa sababu ya kivuli sasa kila mwandishi anaweza kuandika alicho ona (hori/mtendo vyote sawa)
5. Issa/Yesu alitumwa Duniani wakati uchawi na ushikina umekidhiri (pengine kama sasa), Mungu akaona atume mjumbe akampa nguvu ya kufanya miujiza ambayo wachawi na washirikina hawawezi ILI wajue yupo Mungu mmoja tu mwenye mamlaka yote na wamuamini. Kwa bahati mbaya sana wanadam kwa kukosa maarifa wakafikiri Yesu ndiye Mungu badala ya Kumuamini MUNGU MMOJA MWENYE MAMLAKA YOTE aliyemtuma.

Natumaini nimekujibu japo kwa kifupi
 
Wakristo bhana mnashangaza sana

Waislamu wanamuita Isa bin Maryam mnasema sio yeye, ila Wazungu wanamuita Jesus son of Mery mnasema ni yeye.

Waislamu wanasema Kitabu chake ni Injili mnasema sio yeye, Wazungu wanasema kitabu chake kinatwa Gospel mnasema sio yeye

Hivi hizo akili zenu upande wa dini ndio hizi hizi za darasani au ikifika upande huu mnakuwaga mazuzu?

Ndio mana mnaitwa makondoo .
 
Wale ni jews wana majina yao

Hakuwa akiitwa yesu
ila Yoshua kwa jina halisi la wazazi.
Kumbuka ni jamii ya ukanda karibu na waarab wanamajina yao.
 
Haya peleka mtungi wa gesi kwa Pastor Tony aujaze gesi kwa muujiza wa yesu kwa kuupuliza na mdomo
 
Back
Top Bottom