Ila waislamu bhana

Ila waislamu bhana

Hammer11

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2024
Posts
2,029
Reaction score
2,657
Waislamu akili zao bhana ety yesu ni Issa wakat hawa ni watu wawili tofaut kabisa yesu alizaliwa na bikra Maria isa mama yake sijui nani
Yesu alikuwa myahudi issa mwarabu
Yesu alizaliwa kwenye zizi (hori)issa kwenye mtende
Yesu aliponya wagonjwa na vilema issa hakuwahi kuponya hata sisimizi
Yesu hakuna mahari aliongea akiwa mtoto mchanga issa aliongea kumtetea mama yake
Yesu aliteswa na kufa siku ya tatu akafufuka issa alipaaa hakuteswa
Yesu alihubiri kumuhusu mungu issa sijui alikuja kufanya nn😁 kwa ushahidi huu hao watu ni mtu mmoja kweli Waislamu takbriiìiiiiiìiii alahuakibariiiiii
 
Unataka engagement sio?
When you constantly criticize Christianity and Islam without considering their full context, it can come across as if you’ve been influenced or conditioned to see them only in a negative light. It’s worth questioning whether that perspective is truly your own, or else?
 
Ndio natak hivyo wajee
 
Wewe fuata unavoamini na wao wafuate wanavoamini, wote mmeletewa na kusimuliwa aliyopokea yeye ni sawa na ulivyopokeac wewe. Wewe siyo myahudi na yeye sio mwarabu haya ubishi umeisha rudini kwenye dini zenu za kuabudu miti na mapangoni waacheni wenyewe.. SISI waafrika ovyo kweli wenye dini zao wako bize wanajenga maghorofa na kutengenza Madege sisi tuko bize Yesu sijui isa. Mweeeee kulagha nenga
 
Kama unasema mwamedi alidanganya, Ulikuwepo?
 
Waislamu akili zao bhana ety yesu ni Issa wakat hawa ni watu wawili tofaut kabisa yesu alizaliwa na bikra Maria isa mama yake sijui nani
Yesu alikuwa myahudi issa mwarabu
Yesu alizaliwa kwenye zizi (hori)issa kwenye mtende
Yesu aliponya wagonjwa na vilema issa hakuwahi kuponya hata sisimizi
Yesu hakuna mahari aliongea akiwa mtoto mchanga issa aliongea kumtetea mama yake
Yesu aliteswa na kufa siku ya tatu akafufuka issa alipaaa hakuteswa
Yesu alihubiri kumuhusu mungu issa sijui alikuja kufanya nn😁 kwa ushahidi huu hao watu ni mtu mmoja kweli Waislamu takbriiìiiiiiìiii alahuakibariiiiii
Mi ninachojua kitu kimoja tu yesu alikuwa anatawadha na kusali kwa kusujudu akimuomba mungu wake na aliposulubiwa aliomba msaada kwa mungu, ila kuna watu hadi leo wanamwita yesu mungu na wakiamini kuna mungu watatu
 
Acha bangi, Mungu n mmoja tuu mwenye nafsi tatu, ni sawa na ww mwili wako umeumbwa kwa mwili (nyama), roho nadhani na nafsi.
 
ndio maana nasema mnahangaika sana mara nafsi mara nini mnajaribu sana kutetea ujinga wenu , wakati mnaomwita mungu na yeye alikuwa anamuomba mungu kila siku
Ww n muislamu hvy huwez kuelewa, Ww subir ufe ukale bikra
 
Back
Top Bottom