Niliosoma mahali kwamba mtu asiyeweza kabisa kudanganya ana matatizo ya afya ya akili.
Kama kuna ukweli mchungu, basi na uongo mtamu utakuwepo.🤷🏾♂️
Huu ni uongo mtamu🤣Crushie ni mmoja tu 😂
Nachukia sana mtu anayenidanganyaYani unasema uongo ili kuulinda uongo unongezea uongo mwingine juu yake. Ukiulizwa kwanini ulidanganya unaongezea sababu za uongo tena.
Huu ni uongo mtamu🤣
Nachukia sana. Niambie tu ukweli.Yani nitakuchukia vibaya mnoEh sasa mtu akikwambia yeye mbeba mizigo utamuelewa, hapo ndio inabidi aseme yeye Agent wa Logistics😊
Staki uongoWe jau rafikiangu mapenzi ya ukweli ukweli hayanogi inabidi udanganywe kiasi sio saaana ili yanoge
View attachment 3632051
Hayo ni maoni😂Unahisi naposema "realMamy we ni mwanamke mrembo niliewahi kumuona" inakuwa ni kweli?😅
Mat*ko makubwaUnamaanisha nini mabeko
Noma kweli yaani!Kuna Lies na kuna Deception mtu anaweza kukutega kwa uongo ufanye kitu kwaajili yake, imagine unamtega mtoto mzuri akupe uichape maana daktari kasema usipoichapa utaugua ugonjwa wa mashine.