Ila Trump ni wa ajabu sana

Ila Trump ni wa ajabu sana

Trump anaongoza kwa kupingana na ushoga na mapenzi ya jinsia moja ndo maana kwa sera zake hata jeshini wanaanza kuwekewa mazingira magumu ya kazi transgenders na wengine wa design hizo
Trump ana-play devil's advocate. Anajifanya anapinga ushoga ili tusijue kama yeye kweli ni shoga. Watu wenye akili tumeshajua!
 
Hii haimake sense...unajua kwanini..!?
Russia anazalisha mafuta mengi sana...kwanini apokee mafuta ya Iran kisha ayauze...Anafaidika vipi kuwa mtu wa kati, badala ya kuuza mafuta yake moja kwa moja..?
Sijui ila kuna yanayosemekana kutoka kwa viongozi wa huko huko majuu kuwa Russia anahusika kuuza mafuta ya Iran kupitia Caspian sea.
 
Hii haimake sense...unajua kwanini..!?
Russia anazalisha mafuta mengi sana...kwanini apokee mafuta ya Iran kisha ayauze...Anafaidika vipi kuwa mtu wa kati, badala ya kuuza mafuta yake moja kwa moja..?
Kwani hata marekani si mzalishaji mkubwa wa mafuta vipi ina make sense kuagiza nje???
 
Hii haimake sense...unajua kwanini..!?
Russia anazalisha mafuta mengi sana...kwanini apokee mafuta ya Iran kisha ayauze...Anafaidika vipi kuwa mtu wa kati, badala ya kuuza mafuta yake moja kwa moja..?
Mkuu kwani hujui kuwa viwanda vingi vya mafuta vya Urusi vimesimamisha uzalishaji Kwa sababu ya mashambulizi ya drone kutoka Ukraine?
 
Alimzuia India asiendelee kununua mafuta ya Urusi. Lakini leo ghafla yeye anayanunua.

Tuweni makini sana kushabikia siasa.
Brother, this world is so dynamic! Usichukue ya juzi kana kwamba ni ya jana; na ya jana ukaya-apply leo! Funny enough, ya kesho ni tofauti kabisa na ya kesho kutwa ni kitendawili - hakuna ajuaye. So, we must live at that pace and dynamisms.
 
Brother, this world is so dynamic! Usichukue ya juzi kana kwamba ni ya jana; na ya jana ukaya-apply leo! Funny enough, ya kesho ni tofauti kabisa na ya kesho kutwa ni kitendawili - hakuna ajuaye. So, we must live at that pace and dydynamisms.ilq dud
Ila dudus wewe na Dr Matola PhD baada ya mbowe kushindwa uenyekiti mmebadilika sana.
 
Hamna chizi bilionea
da laiti ungejua list ya mabilionaire waliochizika na wengine wakajiua na wengine mali zinaendeshwa na family na trust hujui mengi rudi shuleni>>>>>>.





matajiri wengi ni machizi kweli kama mdau alivyosema ila kiwango ni kikubwa compare na masikini kwa idadi
 
Sisi tumalizeni kwanza madawati ya watoto na ujenzi wa vyoo shulen angalau 😂
Hao watu walishaongozwa na watu 46 humo kuna vichaa na magenious pp na wakiamua lao halishindikani wanaweza hata kutumia miaka 20 ni suala la muda tu watarudi kwenye mstari !
 
Si bure hayo mafuta yanatoka Iran -> Russia then US

Lakini kinachomsaidia sana Putin ni msimamo usioyumba Wallah
 
Back
Top Bottom