Ila Trump ni wa ajabu sana

Ila Trump ni wa ajabu sana

Alimzuia India asiendelee kununua mafuta ya Urusi. Lakini leo ghafla yeye anayanunua.

Tuweni makini sana kushabikia siasa.
Trump mpaka anaondoka ataacha madhara makubwa kwenye uhusiano wa Marekani na washirika wake wa asili.

Naona ni jambo jema maana Sasa watajiondoa kwenye himaya ya Marekani hii ni faida.

Kichuguu
 
Back
Top Bottom