Mimi Melki
Senior Member
- Mar 31, 2022
- 155
- 260
Habari wana Jamii Forums,
Kuna tatizo la kiufundi limetokea hapa jirani na nyumba yetu kwenye nyumba kubwa yenye bati la msauzi na ndinga mbili za maana ndani ya uzio.
Sauti ya mama mwenye nyumba ambaye ana watoto wawili wa kwake, miaka 15 kwa miaka 11 na mtoto ambae sio wake miaka 19 ilisikika tokea ndani kuelekea geti kubwa!
"We mwanaume gani, kuna mwanaume hapo? Nakuvumilia sana, lakini hivyo vimichepuko vyako ndo vinakupa kiburi! Au unaona hivyo vipesa unavyonilaghai navyo ndo vya msingi sana, hata kwetu pesa tunazo! Mwanaume gani wewe, ushawahi nifikisha mara ngapi na lini! Nakuvumilia tu, mtu mwenyewe huvumiliki! Bado unani cheat, furaha ya ndoa yetu unaimalizia kwa michepuko yako, unafika ndani unalala tu, nilikuja hapa kula, halafu nakusema, unanipiga! Subiri tu utaona nitakachofanya"
Sasa hawa viumbe, mimi nimeshindwa kuwaelewa kabisa! Ninachojua ili mwanamke akusikilize, akuheshimu na akupende, kikubwa ni pesa tu, mwaga pesa mezani kisha uende zako! Sasa mbona huyu anawageuka wenzake kama jinsi walivyokubaliana kwenye umoja wao wa wanawake?
Tuwaelewe vipi, mnatutisha sana sie wenye ndoto za kuoa miaka ijayo kwenye 2028!
Tatizo hasa ni nini! Mbona wanakosa kuwa na msimamo wa pesa? Kikubwa si ni pesa tu?
Watakuja kusema huyo baba anaelalamikiwa kuwa ni mimi (natania tu)