Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 8,361
- 10,422
Leo asubuhi nilisikiliza kupitia simu lakini sikuona mabadiliko yoyoteMleta mada anasema tangu Leo asubuhi.
Kaniambia kupitia PM.
Leo asubuhi nilisikiliza kupitia simu lakini sikuona mabadiliko yoyoteMleta mada anasema tangu Leo asubuhi.
Kaniambia kupitia PM.
Iweke hapa tuenjoy sote maana kuna wimbo wake nautafuta ila siujui kwa jina
Hapo sasa sijui shida.Leo asubuhi nilisikiliza kupitia simu lakini sikuona mabadiliko yoyote
Asante mkuu ila sio yenyewe ninayoitafuta mimiNiko nasikiliza Bane ya Oliver N'goma
Asikwambie mtu ni hili vibe ni kama nimerudi miaka ya 90 😂
Huyo ametumia kifupisho badala ya earphones au headphones akatumia phonesHapo sasa sijui shida.
Halafu ukimrekebisha anakuwa mkali.Huyo ametumia kifupisho badala ya earphones au headphones akatumia phones
Yaani unamfanyia wema kumuelekeza halafu anakuwakiaHalafu ukimrekebisha anakuwa mkali.
Hakika ukizidi sanaWell said, wema ni kumanyoko 😎.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kama haujataja pombe huu uzi ni batili
Vyoote😂🤣Headphone or earphone😜
📌📍🔨Hakika ukizidi sana
Anastaili adhabu qali sanaKama haujataja pombe huu uzi ni batili
Mwenyekiti pole kwa majukumu ya kulipa kodiKama haujataja pombe huu uzi ni batili
Hahaha asante bwasheeMwenyekiti pole kwa majukumu ya kulipa kodi
Ila hujarashia sana bado una akiliHahaha asante bwashee
Huo wimbo umenikumbusha sherehe flani mwaka 1995Niko nasikiliza Bane ya Oliver N'goma
Asikwambie mtu ni hili vibe ni kama nimerudi miaka ya 90 😂
kitambo na hicho sioHuo wimbo umenikumbusha sherehe flani mwaka 1995