Ila mziki hunoga ukiwa na phone

Ila mziki hunoga ukiwa na phone

Iweke hapa tuenjoy sote maana kuna wimbo wake nautafuta ila siujui kwa jina
Wimbo gani Mkuu me playlist yake yote ninayo,ukitaka ngoma za kanda bongoman,madiru system, Oliver n'goma, papawemba an nipo full package napenda muziki wa hawa jamaa sana an rhumba lingala ni balaaa
 
Back
Top Bottom