Ila maisha

Kwamba niogope kusema Nina njaa,hapana...kwanza nikisema nitapata michango ya kutosha hapa hapa jukwaani..najua huwezi ninyima buku 10,Mr Deli Intelligent businessman hawezi ninyima buku5 Hapo Half american atanipa 20 yaani silali na njaa.
ukipewa usisahau kushare nami si walisema Id yangu na yako ni mtu mmoja eh😅😅😅
 
Ni kweli,,,ila unaweza kusema kwa namna tofauti ili kulinda privacy yako
Jf ya zamani ilikuwa very helpful, hata ukiwa na shida unasaidiwa.Hii ya sasa ina namna yake.

Pole kwa majukumu hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…