Ila maisha

Mkuu Tumshukuru Mungu kwa Yote,
Tumshukuru kwa kibali cha maisha anayotujalia,
Na zaidi sana Tumshukuru kwa zawadi ya uhai na afya anayotukirimia kila siku bure...

Ni kwa Neema na Baraka za Mungu tunaishi maisha tunayoishi, na saa zingine ni kwasababu ya kiburi na tamaa zilizotutenganisha nae na kusahau kumshukuru...

Tumuombe atujalie moyo wa kumshukuru na atuepushe na laumu huenda ndio nusra yetu 🐒
 
Davido ajitafakari sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na kweli hilo bundle si angekula mihogo
Eleeeeee,
-ukiwa na njaa kali,na hauoni ramani,akili haifanyi kazi.
  • unajiongelea nahisi tu,hujakumbana na hii hali. Kila unachogusa,kinateleza.
  • ukute na hiyo bundle,mwingine ana mkopo wa Nipige tafu,unakumbuka una laini nyingine,unaiweka uchukue basi vocha ya jero. Badae unagundua na ile vocha,umeiweka kwenye laini yenye mkopo. Huku ulijua labda ungeweza kuwasiliana na washikaji upate hata buku 2
 
Kwamba niogope kusema Nina njaa,hapana...kwanza nikisema nitapata michango ya kutosha hapa hapa jukwaani..najua huwezi ninyima buku 10,Mr Deli Intelligent businessman hawezi ninyima buku5 Hapo Half american atanipa 20 yaani silali na njaa.
Ukiwa real mbona unasaidika vizuri kama ww tunamuachia jukumu Half american maana kapokea hela ya mchezo juzi😂 walikua wanatoa laki kwa wiki walianza mwezi wa sita
 
Ukiona maisha yanakuzingua una achana nayo unafanya mishe zingineee...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…