Mi mi
JF-Expert Member
- Jul 14, 2024
- 5,871
- 11,144
Maisha haya shikamoo.
Sikuwahi kufikiri kuna siku nayo katibu mwenezi wa chama mstaafu kuna siku naye familia yake itaomboleza kama Watanzania wengine ila maisha ni kitu cha hatari kweli.
Sasha kiburi kinakuponza kila siku nakukumbusha kuwa unamjua Jiang Qing hili Mama lilikuwa katili kushinda wewe ila ni usiku mmoja tu ulipindua Meza na wale aliokuwa akiwatesa yeye na kundi lake la wazee wa nne wa kazi lilishughulikiwa kisawasawa.
Wale wale wakina Deng Xiaoping aliowatesa ndio waliokuja kumgeuzia kibano yeye na kundi lake.
Ubaya sasha ni mjinga sana siasa za namna hii haziwezi kukusaidia siku usipokuwepo madarakani na ubaya wa udikteta wa kichama kama uliopo ni makundi ndani ya chama kuwindana hasa pale chama kinapokuwa corrupt kama chama chako.
Jambo pekee ninalo uhakika nalo hawa hawa unaowatuma watakuja kuku shughulikia wewe mwenyewe.