Ila Mahakamani๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ

"Sheria ni kama utandu wa buibui, kama upo imara utatoboa, kama upo dhaifu, utanasa"...

Sina hakika kama nimenukuu kwa usahihi.

Ila huu ndio uhalisia.

Kusema hakuna aliye juu ya sheria ni uongo namba moja Duniani.

Kila mtu ni muovu, ila "Mfungwa ni mtu asiye na hatia akafungwa, na asiye na hatia ni mfungwa ambaye bado hajafikishwa jela"....

Makofi. ๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ