Ila kutapeliwa kunauma wakuu

Pole Sana.


Ulivyoona St Joseph na Sister .

Yawezekana huyo kavaa tu vazi Ila sio sister then mambo ya hela ni very sensitive kumruhusu mtu afanye alichofanya inafikirisha sana.

Pole Sana kwenye mambo ya hela unabidi kuwa makini Sana trust no body even ur self.
 
Pole Sana ndugu...
 
Sio kila mtu anarushiwa tatizo wamemgundua bonge ni mwepesi mno wakaruka nae
 
Na aina hii ya utapeli huwa inafanya kazi kwa ufahasa kwa wanawake mpo weak sana kwenye ulimwengu wa kiroho pole sana walichukua akili yako kwa muda
 
Pole sana kutapeliwa kunauma sana nilipigwa hela nikajikuta nimelala kwenye majani na sielewi nilifikaje fikaje pale.

Tuwe makini mwanzo wa mwaka huu watu wanaitafuta hela sana kuna mwingine juzi kapigwa 4m wamefuatilia kwenye camera hakuna kitu.
 
Pole sana bonge naona ulilia sana mpaka uligalagala chini hao washenzi tuwaroge tu kwa mizimu ya kingoni hakuna namna yaan lazima waokote makopo
 
Narudi hapa kusoma huo UTAPELI
 
Po
Pole sana mkuu yanatokea hayo ila asilimia kubwa ni ndumba hizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…