Ila kuna wanawake wamekubuhu

Ila kuna wanawake wamekubuhu

Smile Digital Stationery

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2024
Posts
202
Reaction score
317
Helo wana JF, Hello wana NRNE

Tuchangamshe genge kidgo wakati tukiendelea na nyundo za ugoko ya #NOREFORMSNOELECTION
***
Kuna tukio nilishawahi kulishuhudia ktk nyumba nilokuwa nimepanga miaka ya nyuma kidogo, kiukweli jambo lile sikulichukulia ktk hali ya kumchukia Stering, ila nilijifunza kitu.

Jiran na chumba changu alikuwepo mdada fulani na alikuwaga amejaaliwa mtoto mmoja wa kiume, yule alikuja huku mkoani akitokea Dar ila ni baada ya kuachana na mumewe ambaye ndo baba ake na yule mwanae.
Dogo kalikuwa na umri wa kati ya miaka 4-5, kalikuwa kakiume.

Yule mwanamke alianza na kazi ya u barmaid, kisha akiwa kule kuna jamaa alikuwa ni dereva wa gari za abiria, akitoa abiria hapo kwenda Arusha, so jamaa akawa kajimilkisha akampangia na chumba ambapo ndo hpo nlipokuwepo namimi, mnavyojua routes za magari anaenda analala kule kesho yke ndo anarud huku.

Demu akawa anajua ratiba za jamaa ake maana jamaa akija anakuja kwa demu wke kulala maana yey sindo kampangishia banaa, na demu kule bar jamaa akamwambia aache kaz yey atakuwa anamtunza kila kitu.
Jamaa akienda route huku demu anaingiza majamaa wengine na sio mmoja, anaeza akaingiza wahuni hata watatu kwa siku ila kwa nyakati tofauti, na hajawahi kuwagonganisha hakika alikuwa mzoefu.

Kuna mzee mmoja alikuwa na umri sawa na baba ake yule demu, yaan n kama mzazi wake lakn mzee alikuwa hajishtukii wala demu. Chumba chake na changu vilkuwa vinatizamana na juu hakuna kizuizi kwamba sauti iishie hukohuko kwake, yaan utake usitake utasikia tuu kinachoendelea huko na uzuri demu mwenyewe alikuwa kinanda (makelele utadhani ndo anavunjwa bikra) na nlihisi hiyo ndo mbinu ilokuwa inawaziba macho wale wadau, maana unakuta demu katoa mhuni masaa mawili yalopita hivi inamaana anayekuja kuichapa hajui kwamba hii ishatumika?, na sio kwamba wao walikuwa wanajua kuwa demu anajiuza, hapana yaan kila mmoja katika hao alikuwa anajua huyo ni demu wake peke ake, na anamhudumia kwa kila kitu.

Nakumbuka yule mzee alikuwa siku akija (maana yaonekana alikuwa anaishi wilaya nyingine) alikuwaga akija kuichapa anaingia usiku asa usiku huo unanikuta namm nisharud kwenye mishe zangu ili kupunzisha fuvu, asee yule dingi alikuwa akifikia kukojoa anajamba dadeki😀.

Halafu mjuba ambae n dereva siku anayokuja demu anajidai muaminifuu maaanina, jamaa akija anavimba vile demu anavyojibebisha na muda wa kuichapa demu anavyoilalamikia basi jamaa anajua huyu wife material kabisa nimepata, kumbe wenzake wanaloweka humo vibaya mnooo akiwa hayupo😄.
Jamaa nilikuwa namuonea huruma kama Mwanaume mwenzangu ila sasa ndo kajiopolea chombo yake.
Mtoto alikuwa anatambulishwa tuu, msalimie anko, msalimie baba n.k.

Yule demu kuna kipnd nlijaribu kumshauri maana tulikuwa tumezoeana tuu, nkamwambia kuwa maisha anayoishi ayabadilishe, nkamwambia ajitahd kwa uzoefu wake aombe hata mtaji kwa hao watu wake afungue biashara yyte ya ujasiriamali afanye ajipatie pesa zake hyo itamsaidia kukipumzisha maana atakuwa na jeuri ya kuwa na yule atayempenda na akatulia naye maana mtoto anakuwa itafika nyakati atajua anachokifanya mama ake na hyo haitaleta picha nzuri kimaadili kwa mwanae.

Alinisikiliza na akaonekana kunielewa ila asikufiche mtu ile mambo wengine ni kipaji, aliendelea na maisha yaleyale hadi mimi nahama pale nlimwacha akiendelea kuwasafishia wahuni rungu zao.

Oyaa, Sikuwalaumu wale wajuba, maana kwa mbinu za yule demu hata kama ni wewe usingeusoma mchezo lazima ungechanganywa tuu. Hawa viumbe hatuwezi shindana nao kwenye maeneo yao ya kujidai, ukijidai mjanja anakuwa mjanja zaidi yako. Kwa ufupi ni kwamba HATUEZI SHINDANA NA TULIPOTOKEA✍️
 
Yule mwanamke alianza na kaz ya u barmaid, kisha akiwa kule kuna jamaa alikuwa ni dereva wa gari za abiria, akitoa abiria hapo kwenda Arusha, so jamaa akawa kajimilkisha akampangia na chumba ambapo ndo hpo nlipokuwepo namimi, mnavyojua routes za magari anaenda analala kule kesho yke ndo anarud huku.

Jamaa akienda route huku demu anaingiza majamaa wengine na sio mmoja, anaeza akaingiza wahuni hata watatu kwa siku ila kwa nyakati tofauti, na hajawahi kuwagonganisha hakika alikuwa mzoefu. Kuna mzee mmoja alikuwa na umri sawa na baba ake yule demu, yaan n kama mzazi wake lakn mzee alikuwa hajishtukii wala demu. Chumba chake na changu vilkuwa vinatizamana na juu hakuna kizuizi kwamba sauti iishie hukohuko kwake, yaan utake usitake utasikia tuu kinachoendelea huko na uzuri demu mwenyewe alikuwa kinanda (makelele utadhani ndo anavunjwa bikra) na nlihisi hiyo ndo mbinu ilokuwa inawaziba macho wale wadau, maana unakuta demu katoa mhuni masaa mawili yalopita hivi inamaana anayekuja kuichapa hajui kwamba hii ishatumika?, na sio kwamba wao walikuwa wanajua kuwa demu anajiuza, hapana yaan kila mmoja katika hao alikuwa anajua huyo ni demu wake peke ake, na anamhudumia kwa kila kitu. Nakumbuka yule mzee alikuwa siku akija (maana yaonekana alikuwa anaishi wilaya nyingine) alikuwaga akija kuichapa anaingia usiku asa usiku huo unanikuta namm nisharud kwenye mishe zangu ili kupunzisha fuvu, asee yule dingi alikuwa akifikia kukojoa anajamba dadeki😀.

Alinisikiliza na akaonekana kunielewa ila asikufiche mtu ile mambo wengine ni kipaji, aliendelea na maisha yaleyale hadi mimi nahama pale nlimwacha akiendelea kuwasafishia wahuni rungu zao.a

Oyaa, Sikuwalaumu wale wajuba, maana kwa mbinu za yule demu hata kama ni wewe usingeusoma mchezo lazima ungechanganywa tuu. Hawa viumbe hatuwezi shindana nao kwenye maeneo yao ya kujidai, ukijidai mjanja anakuwa mjanja zaidi yako. Kwa ufupi ni kwamba HATUEZI SHINDANA NA TULIPOTOKEA✍️
Nipe namba yake kwanza
 
Dhambi ni Dhambi tuu, itafika mahali,atakosea hesabu!
 
Huyo binti inaonekana ni hulka yake kufanya huo uhuni.

I once dated binti fulani mwaka 47, principal yangu ilikuwa kutokutabirika siku ya kumtembelea.

Naweza kwenda Kwa wiki mara tatu ama mara nne.

Naweza kwenda saa 10 Jioni, saa 5 usiku ama saa 12 asubuhi

Kwa mpenzi ambaye unamgharamia kama hivyo, ukiona haeleweki bora kumtema. Ukijidai kichwa ngumu utakuja kuungwa kwenye Grid ya Taifa
 
Helo wana JF, Hello wana NRNE

Tuchangamshe genge kidgo wakati tukiendelea na nyundo za ugoko ya #NOREFORMSNOELECTION
***
Kuna tukio nilishawahi kulishuhudia ktk nyumba nilokuwa nimepanga miaka ya nyuma kidogo, kiukweli jambo lile sikulichukulia ktk hali ya kumchukia Stering, ila nilijifunza kitu.

Jiran na chumba changu alikuwepo mdada fulani na alikuwaga amejaaliwa mtoto mmoja wa kiume, yule alikuja huku mkoani akitokea Dar ila ni baada ya kuachana na mumewe ambaye ndo baba ake na yule mwanae.
Dogo kalikuwa na umri wa kati ya miaka 4-5, kalikuwa kakiume.

Yule mwanamke alianza na kazi ya u barmaid, kisha akiwa kule kuna jamaa alikuwa ni dereva wa gari za abiria, akitoa abiria hapo kwenda Arusha, so jamaa akawa kajimilkisha akampangia na chumba ambapo ndo hpo nlipokuwepo namimi, mnavyojua routes za magari anaenda analala kule kesho yke ndo anarud huku.

Demu akawa anajua ratiba za jamaa ake maana jamaa akija anakuja kwa demu wke kulala maana yey sindo kampangishia banaa, na demu kule bar jamaa akamwambia aache kaz yey atakuwa anamtunza kila kitu.
Jamaa akienda route huku demu anaingiza majamaa wengine na sio mmoja, anaeza akaingiza wahuni hata watatu kwa siku ila kwa nyakati tofauti, na hajawahi kuwagonganisha hakika alikuwa mzoefu.

Kuna mzee mmoja alikuwa na umri sawa na baba ake yule demu, yaan n kama mzazi wake lakn mzee alikuwa hajishtukii wala demu. Chumba chake na changu vilkuwa vinatizamana na juu hakuna kizuizi kwamba sauti iishie hukohuko kwake, yaan utake usitake utasikia tuu kinachoendelea huko na uzuri demu mwenyewe alikuwa kinanda (makelele utadhani ndo anavunjwa bikra) na nlihisi hiyo ndo mbinu ilokuwa inawaziba macho wale wadau, maana unakuta demu katoa mhuni masaa mawili yalopita hivi inamaana anayekuja kuichapa hajui kwamba hii ishatumika?, na sio kwamba wao walikuwa wanajua kuwa demu anajiuza, hapana yaan kila mmoja katika hao alikuwa anajua huyo ni demu wake peke ake, na anamhudumia kwa kila kitu.

Nakumbuka yule mzee alikuwa siku akija (maana yaonekana alikuwa anaishi wilaya nyingine) alikuwaga akija kuichapa anaingia usiku asa usiku huo unanikuta namm nisharud kwenye mishe zangu ili kupunzisha fuvu, asee yule dingi alikuwa akifikia kukojoa anajamba dadeki😀.

Halafu mjuba ambae n dereva siku anayokuja demu anajidai muaminifuu maaanina, jamaa akija anavimba vile demu anavyojibebisha na muda wa kuichapa demu anavyoilalamikia basi jamaa anajua huyu wife material kabisa nimepata, kumbe wenzake wanaloweka humo vibaya mnooo akiwa hayupo😄.
Jamaa nilikuwa namuonea huruma kama Mwanaume mwenzangu ila sasa ndo kajiopolea chombo yake.
Mtoto alikuwa anatambulishwa tuu, msalimie anko, msalimie baba n.k.

Yule demu kuna kipnd nlijaribu kumshauri maana tulikuwa tumezoeana tuu, nkamwambia kuwa maisha anayoishi ayabadilishe, nkamwambia ajitahd kwa uzoefu wake aombe hata mtaji kwa hao watu wake afungue biashara yyte ya ujasiriamali afanye ajipatie pesa zake hyo itamsaidia kukipumzisha maana atakuwa na jeuri ya kuwa na yule atayempenda na akatulia naye maana mtoto anakuwa itafika nyakati atajua anachokifanya mama ake na hyo haitaleta picha nzuri kimaadili kwa mwanae.

Alinisikiliza na akaonekana kunielewa ila asikufiche mtu ile mambo wengine ni kipaji, aliendelea na maisha yaleyale hadi mimi nahama pale nlimwacha akiendelea kuwasafishia wahuni rungu zao.

Oyaa, Sikuwalaumu wale wajuba, maana kwa mbinu za yule demu hata kama ni wewe usingeusoma mchezo lazima ungechanganywa tuu. Hawa viumbe hatuwezi shindana nao kwenye maeneo yao ya kujidai, ukijidai mjanja anakuwa mjanja zaidi yako. Kwa ufupi ni kwamba HATUEZI SHINDANA NA TULIPOTOKEA✍️
Vipi na shimo la nyuma alikuwa anatoa au la ? Kama alikuwa anatoa nipe connection
 
Huyo binti inaonekana ni hulka yake kufanya huo uhuni.

I once dated binti fulani mwaka 47, principal yangu ilikuwa kutokutabirika siku ya kumtembelea.

Naweza kwenda Kwa wiki mara tatu ama mara nne.

Naweza kwenda saa 10 Jioni, saa 5 usiku ama saa 12 asubuhi

Kwa mpenzi ambaye unamgharamia kama hivyo, ukiona haeleweki bora kumtema. Ukijidai kichwa ngumu utakuja kuungwa kwenye Grid ya Taifa
Umesha sema una mgharamia, means wee n provider wake, una uhalali kufanya hivyo, vinginevyo ni kashesheee.
😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom