Ms R
JF-Expert Member
- Jan 19, 2023
- 10,547
- 22,982
😂😂😂😂😂Babu weeeee ile yakoshwa vizuri na maji swaaaafiiiYaan vile Wana walikuwa wanajaza maziwa yao ndani kwa ndani useme kutakuwa kusafi? Hadi yule mzee hadi akawa anaachia mabomu?🤣🤣
😂😂😂😂😂Babu weeeee ile yakoshwa vizuri na maji swaaaafiiiYaan vile Wana walikuwa wanajaza maziwa yao ndani kwa ndani useme kutakuwa kusafi? Hadi yule mzee hadi akawa anaachia mabomu?🤣🤣
NRNE haya sasa tuendelee na storiTuchangamshe genge kidgo wakati tukiendelea na nyundo za ugoko ya #NOREFORMSNOELECTION
NRNEKatiba mpya itaondoa haya yote
Tuendelee kuishi nao Kwa akiliNikweli kabisa
Nilisahau hii:Helo wana JF, Hello wana NRNE
Tuchangamshe genge kidgo wakati tukiendelea na nyundo za ugoko ya #NOREFORMSNOELECTION
***
Kuna tukio nilishawahi kulishuhudia ktk nyumba nilokuwa nimepanga miaka ya nyuma kidogo, kiukweli jambo lile sikulichukulia ktk hali ya kumchukia Stering, ila nilijifunza kitu.
Jiran na chumba changu alikuwepo mdada fulani na alikuwaga amejaaliwa mtoto mmoja wa kiume, yule alikuja huku mkoani akitokea Dar ila ni baada ya kuachana na mumewe ambaye ndo baba ake na yule mwanae.
Dogo kalikuwa na umri wa kati ya miaka 4-5, kalikuwa kakiume.
Yule mwanamke alianza na kazi ya u barmaid, kisha akiwa kule kuna jamaa alikuwa ni dereva wa gari za abiria, akitoa abiria hapo kwenda Arusha, so jamaa akawa kajimilkisha akampangia na chumba ambapo ndo hpo nlipokuwepo namimi, mnavyojua routes za magari anaenda analala kule kesho yke ndo anarud huku.
Demu akawa anajua ratiba za jamaa ake maana jamaa akija anakuja kwa demu wke kulala maana yey sindo kampangishia banaa, na demu kule bar jamaa akamwambia aache kaz yey atakuwa anamtunza kila kitu.
Jamaa akienda route huku demu anaingiza majamaa wengine na sio mmoja, anaeza akaingiza wahuni hata watatu kwa siku ila kwa nyakati tofauti, na hajawahi kuwagonganisha hakika alikuwa mzoefu.
Kuna mzee mmoja alikuwa na umri sawa na baba ake yule demu, yaan n kama mzazi wake lakn mzee alikuwa hajishtukii wala demu. Chumba chake na changu vilkuwa vinatizamana na juu hakuna kizuizi kwamba sauti iishie hukohuko kwake, yaan utake usitake utasikia tuu kinachoendelea huko na uzuri demu mwenyewe alikuwa kinanda (makelele utadhani ndo anavunjwa bikra) na nlihisi hiyo ndo mbinu ilokuwa inawaziba macho wale wadau, maana unakuta demu katoa mhuni masaa mawili yalopita hivi inamaana anayekuja kuichapa hajui kwamba hii ishatumika?, na sio kwamba wao walikuwa wanajua kuwa demu anajiuza, hapana yaan kila mmoja katika hao alikuwa anajua huyo ni demu wake peke ake, na anamhudumia kwa kila kitu.
Nakumbuka yule mzee alikuwa siku akija (maana yaonekana alikuwa anaishi wilaya nyingine) alikuwaga akija kuichapa anaingia usiku asa usiku huo unanikuta namm nisharud kwenye mishe zangu ili kupunzisha fuvu, asee yule dingi alikuwa akifikia kukojoa anajamba dadeki😀.
Halafu mjuba ambae n dereva siku anayokuja demu anajidai muaminifuu maaanina, jamaa akija anavimba vile demu anavyojibebisha na muda wa kuichapa demu anavyoilalamikia basi jamaa anajua huyu wife material kabisa nimepata, kumbe wenzake wanaloweka humo vibaya mnooo akiwa hayupo😄.
Jamaa nilikuwa namuonea huruma kama Mwanaume mwenzangu ila sasa ndo kajiopolea chombo yake.
Mtoto alikuwa anatambulishwa tuu, msalimie anko, msalimie baba n.k.
Yule demu kuna kipnd nlijaribu kumshauri maana tulikuwa tumezoeana tuu, nkamwambia kuwa maisha anayoishi ayabadilishe, nkamwambia ajitahd kwa uzoefu wake aombe hata mtaji kwa hao watu wake afungue biashara yyte ya ujasiriamali afanye ajipatie pesa zake hyo itamsaidia kukipumzisha maana atakuwa na jeuri ya kuwa na yule atayempenda na akatulia naye maana mtoto anakuwa itafika nyakati atajua anachokifanya mama ake na hyo haitaleta picha nzuri kimaadili kwa mwanae.
Alinisikiliza na akaonekana kunielewa ila asikufiche mtu ile mambo wengine ni kipaji, aliendelea na maisha yaleyale hadi mimi nahama pale nlimwacha akiendelea kuwasafishia wahuni rungu zao.
Oyaa, Sikuwalaumu wale wajuba, maana kwa mbinu za yule demu hata kama ni wewe usingeusoma mchezo lazima ungechanganywa tuu. Hawa viumbe hatuwezi shindana nao kwenye maeneo yao ya kujidai, ukijidai mjanja anakuwa mjanja zaidi yako. Kwa ufupi ni kwamba HATUEZI SHINDANA NA TULIPOTOKEA✍️
SahihiTuendelee kuishi nao Kwa akili
😆Bahati yake 🤣
Sijala mkuu😄Wewe ulikula?
🤣🤣Hiyo ndiyo principal yangu, huwa naprovide ili kuwa na uhalali wa kumtembelea muda wowote ninao hitaji.
Japo mabinti wa miaka hii wasivyo na adabu, hawachelewi kukuitia mwizi akiona amegonganisha Mabwana
Ndiyo maana kujihami natembea na manati ya Mzungu 😜
Ila na wewe ulikua kambea kaka, kwahiyo hizo movements zote ulikua unazifiatilia? Like amedanganya ako mimba, pesa ya chips and wereva wereva😅😅.Nilisahau hii:
Asee yule demu hakuwaga na huruma, maana baada muda mredu yule dereva alibadilishiwa route, akawa anapiga ya Dodoma sijui to Arusha, bc kwakuwa anajua demu ni wake akawa bdo anaendelea nae ila ikawa ni fimbo ya mbali sasa, kuna nyakati demu akawaga anaenda kule n.k.
Asa kuna kipindi akamtengenezea dereva kipengele kuwa anajihisi ana mimba, jamaa yaonekana alifurahia sana, akamtumia manzi hela akapime ila demu akamwambia kuwa yeye sio mara ya kwanza kubeba mimba, hvyo anajua dalili zake akishika mimba, hvyo jamaa akaanza rasmi kuhudumia, kuna muda demu analalamika anajisikia kula chipsi yao plus kuku lakn hana hela, dereva anatuma, demu alikuwa ana shoga ake chumba kingne mule wakawa wanasomeshana mipango maana ikitumwa hela yule shoga ake naye anaponea humo, dahh.
Ikaendaaa ikakata km miezi 3 hv demu akawa anajadiliana na mwenzake "sasa nishadanganya nina mimba na sina, hapa itabid nijidai naumwa sn tumbo halafu siku ya pili yake wewe ndo utampigia simu umwambie kuwa mama fulani jana kaziowa tukamleta hospital hajitambui hata hapa bdo hatujaruhusiwa alipimwa kumbe alikuwa na mimba imeharibika" basi ikafika siku wakafanikisha jambo lao jamaa kule akaambiwa bill wanayodaiwa akaituma ila analalamika sana kwa kumpoteza mwanae.
Ila nliona yule mwamba alikuwa na uboya flan nkaonaga ni sawa tuu anavyonyooshwa.
😅😅
Mkuu, hadi mtaroni?kugharamia KU.MA ni gharama KUBWA sana, ili kuFIDIA haya yote ni kula hadi kule kwingine. potelea mbali baby, hakuna namna, tisheti wala jinsi.
Mkuu sio kwamba nlkuwa napenda kuwasikia ila nlikuwa nalazimishwa maana mipango yao wanapanga na wanaongea kwa sauti na siunajua tena juu hakujazibwa na tunatenganishwa na ukuta tuu juu kupo wazi, so ilkuwa lazima na bahat mbaya mipango yao mingi walikuwa wanaongea muda ambao mim nisharudi mkuu😄Ila na wewe ulikua kambea kaka, kwahiyo hizo movements zote ulikua unazifiatilia? Like amedanganya ako mimba, pesa ya chips and wereva wereva😅😅.
Kumbeee😆😆😂😂😂😂😂Babu weeeee ile yakoshwa vizuri na maji swaaaafiii
Anhaa pole sana kwa unyanyasaji wa kihisia ambao wamekufanyia hao watu mkuu😅😅Mkuu sio kwamba nlkuwa napenda kuwasikia ila nlikuwa nalazimishwa maana mipango yao wanapanga na wanaongea kwa sauti na siunajua tena juu hakujazibwa na tunatenganishwa na ukuta tuu juu kupo wazi, so ilkuwa lazima na bahat mbaya mipango yao mingi walikuwa wanaongea muda ambao mim nisharudi mkuu😄
si ndio wajameniKumbeee😆😆
Walininyoosha dadeki zaoAnhaa pole sana kwa unyanyasaji wa kihisia ambao wamekufanyia hao watu mkuu😅😅
Wa angaza !!?? 😁😁😁😁Ulitakiwa uombe mzigo ila wewe ukajifanya unatoa ushauri kama mama terry