Ndebile
JF-Expert Member
- Sep 14, 2011
- 8,246
- 12,789
Sisi (watumishi wa afya) ulikuwa unaingia kazini na begi limejaa dripu, dawa, vifaa tiba, nk na kujigeuza machinga...unamaliza shift una mijihela hadi kero, ukitoka kazini bodaboda anapata, muuza genge, mama wa grocery, nyumba mdogo, familia umejaza watoto hadi wa binamu na wengi above 18 wanakula tu!Kila mtu anaudhaifu wake lakini hakua katili wala muuaji
Alikua Rais mwenye Baraka tele na watanzania tulikua tuna Hali nzuri kiuchumi
(Usijibu comment hii kama hukuelewa ujumbe uliojificha)