Ila JK ni mtu mmoja mjanja sana

Ila JK ni mtu mmoja mjanja sana

Huyu mstaafu kikwete anaturoga Sana ndio maana tunampenda, huo ndio ukweli haiwezekan unapenda tu.Nyie watanzania mnarogwa sana hamjui hata hii amani tuliyonayo, pia watu kushindwa kuandamana ukiweka mbali vitisho kurogwa napo kunachangia.....
Nakumbuka jamaa mmoja anaitwa Raila alialikwa hapo chattle akavundikwa wiki moja tu.

Kurudi kwao Uhunye akambambembeleza wafanye handshake,jamaa sa hivi ana nguvu kuliko deputy presidaa Wa hiyo kantre.
Ulogi upo.
 
Mtu alitaka kutumalizia rasilimali zetu afu unatuletea wenge hapa... Tembo walikua wanavunwa kama mchicha
 
Anakuja Mwinyi wa pwani sisi hatuna tatizo na mtu ili mradi usichezee maslahi yetu tu
Kwanza katutambulisha wakwele tulikuwa hatujulikani, alafu katutoa aibu shule kwetu hatuna, Ila Katia saini ikulu.
 
Mbona mimi simpendi kabisa. Ndie kiini cha kuleta hali hii kwa fitina zake kwa EL
Mungu amlinde hata haka kamshahara ninakopata kalifikia hapa wakati wa utawala wake. Chuo nilisoma kwa raha wakati wa utawala wake.! Mungu akulinde mh mstaafu.
 
Leo nimeamini kua JK ni mjanja sana,. Check response yake kwenye maswali aliyoulizwa na Salama Jabir.

Salama: Kwanini watu wanakupenda sana.
JK: Waulize haohao wanaonipenda mimi sijui bwana

Salama: Lakini unajua kuwa tunakupenda
JK: (Pause kidogo)... Najua kuwa hamnichukii

Ila JK wewe sawa tu leo hujui kua watanzania tunakupenda kweli? Ila sisi tutaendelea kukupenda tuu mzee wetu.
Huyu Mzee Namshukulu Mnoo!!! Tulipata Ajira Kupitia Yeye!!!! Mungu Ambarik sana Jk....
 
Kwanza katutambulisha wakwele tulikuwa hatujulikani, alafu katutoa aibu shule kwetu hatuna, Ila Katia saini ikulu.
Kabisa
Mpaka mijitu ya bara inammisss sasa ndio wajue watu wa pwani hatuna shida na mtu hatuna mambo ya kutaka watu waishi kama mashetani sisi tupo peace tu ingawa yenyewe inatuambia sisi wavivu
 
Back
Top Bottom