MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,016
- 16,813
Kuna muda huwa ninawashangaa Watanzania kwani kama kuna Rais ambaye aliiharibu Tanzania hii Kiuchumi na Kimaadili kwa 100% alikuwa JMK.Leo nimeamini kua JK ni mjanja sana,. Check response yake kwenye maswali aliyoulizwa na Salama Jabir.
Salama: Kwanini watu wanakupenda sana.
JK: Waulize haohao wanaonipenda mimi sijui bwana
Salama: Lakini unajua kuwa tunakupenda
JK: (Pause kidogo)... Najua kuwa hamnichukii
Ila JK wewe sawa tu leo hujui kua watanzania tunakupenda kweli? Ila sisi tutaendelea kukupenda tuu mzee wetu.