Ila Ford Ranger zimekaa kibabe

Ila Ford Ranger zimekaa kibabe

Ili ulipie kodi nafuu kwenye Ford chukua ya kuanzia 2017 au 2018 kuja mbele inaanzia 17m mpaka 24.7m ila hizo raptor na hiyo HR box ni 28m mpaka 33m Tsh ukichukua Ford ya 2014 sijui 2015 na 2016 utalipia zaidi ya 24m kwa hiyo nikihitaji Ford naumia kwenye kununua ila napata unafuu kwenye kulipia kodi hii kanuni ipo tofauti na Toyota GD.6...
Isanga family
Nchi yetu ni ngumu sana kuielewa. Juzi Kati jamaa yangu, kanunua FR wild trak UK ya 2022, kapigwa ushuru 42M. Mind you, SIYO Raptor. Wakati anaagiza, kwenye calculator ya TRA, ilionyesha 33M.
 
Vo
Volkswagen Amarok kuanzia 2022-2025 zimekuja ni 10 speed transmissions automatic gearbox huku engine zake zikiwa na B-Turbo yaani turbocharged mbili kwenye engine moja ili kuipa nguvu ya haraka ili iweze kuchanganya mapema .

Hizo pick up zote zilizopo kwenye mada hii wanapiga salute Huko barabarani wakiiona hii Volkswagen, hapa hakuna cha V8 land cruiser wala LC300 inaweza kuifata hii mashine
Ford ranger is my all time favorite. Ni gari nilikuwa naitamani sana zamani. Namshukuru Mungu alinijibu👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏. …..Sijui Kama naweza linganisha na gari yoyote kwenye, competitors wake.

By the way nilishawahi miliki VW. But FR ni levels aiseeee.
 
Isanga family
Nchi yetu ni ngumu sana kuielewa. Juzi Kati jamaa yangu, kanunua FR wild trak UK ya 2022, kapigwa ushuru 42M. Mind you, SIYO Raptor. Wakati anaagiza, kwenye calculator ya TRA, ilionyesha 33M.
Mkuu TRA wanaingiza chassis number kujua gari inatakiwa lilipiwe kodi kiasi gani ila kwenye kikokoteo chao wameweka mwaka bila hiyo chassis number kwa hiyo mlikosea kwa kuweka mwaka wa gari na aina ya gari kujua bila kutumia hiyo number mimi ukinitumia chassis number nawauliza mawakala waingize maana pia FR ya UK unakuta mwaka huo ni chassis number tofauti na ya SA.
Mimi pia iliwahi nitokea hiyo kwa Subaru SH 9 nililipia 18m kodi gari ya 2009 wakati SH 5 kodi ni 12m ya mwaka huo huo utofauti wa chassis number ambao TRA wanatumia ndio inaleta tofauti ya kulipia kodi magari.
 
Ndio maana tunashauri watu wanunue magari south , kiukweli china za south ni classic kuliko used za ulaya au Japan na gari za miaka ya kuanzia 2020 ni bei ya kawaida
 
Mkuu TRA wanaingiza chassis number kujua gari inatakiwa lilipiwe kodi kiasi gani ila kwenye kikokoteo chao wameweka mwaka bila hiyo chassis number kwa hiyo mlikosea kwa kuweka mwaka wa gari na aina ya gari kujua bila kutumia hiyo number mimi ukinitumia chassis number nawauliza mawakala waingize maana pia FR ya UK unakuta mwaka huo ni chassis number tofauti na ya SA.
Mimi pia iliwahi nitokea hiyo kwa Subaru SH 9 nililipia 18m kodi gari ya 2009 wakati SH 5 kodi ni 12m ya mwaka huo huo utofauti wa chassis number ambao TRA wanatumia ndio inaleta tofauti ya kulipia kodi magari.
Unamaanisha trim level?
 
Ford ranger is my all time favorite. Ni gari nilikuwa naitamani sana zamani. Namshukuru Mungu alinijibu👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏. …..Sijui Kama naweza linganisha na gari yoyote kwenye, competitors wake.

By the way nilishawahi miliki VW. But FR ni levels aiseeee.
Safi Sana mkuu!!!
Kila mmoja anatamani kumiliki hizo chuma za maana tuzidi kuombeana Tu...sipati picha ukiwa safari ndefu na hiyo gari aisee
 
Ni gari tamu sana. Mwaka jana, niliendesha kwenda Mwanza kupitia Arusha. FR gari nzuri sana.
Tuzidi kuombeana, Mungu anajibu kwa wakati wake. Na wala habagui.
 
Kwahiyo mtoa mada ndiyo unarudi tena kwenye ulimwengu wa ICE?.
 
Unaijua LC 79 ebu ka google alafu uje na hiyo ford yako
IMG_20250414_102648.jpg
 
Back
Top Bottom