Ila Ford Ranger zimekaa kibabe

Ila Ford Ranger zimekaa kibabe

Toyota Hilux na wao waliona Bora waige kwenye ford ranger raptor..
Toyota Wana TRACOMA na TUNDRA hizi pick up wamekopi kilakitu
mlp-img-ext-2023-tacoma.jpg
 
Gari hizi nzuri lakini bei yake hapana, 120M huko sio poa....ila Kenya kidogo bei zimepoa, kukuta mtu anauza ambayo imenyooka million 70 au 60 ya kitanzania kawaida...nitaendesha hii gari inshallah
Daah mkuu hakuna Ford ya kuanzia 2017 kuja mbele utaikuta Nairobi kwa bei hiyo na wao wana kodi kubwa kuliko Tanzania.
 
Ili ulipie kodi nafuu kwenye Ford chukua ya kuanzia 2017 au 2018 kuja mbele inaanzia 17m mpaka 24.7m ila hizo raptor na hiyo HR box ni 28m mpaka 33m Tsh ukichukua Ford ya 2014 sijui 2015 na 2016 utalipia zaidi ya 24m kwa hiyo nikihitaji Ford naumia kwenye kununua ila napata unafuu kwenye kulipia kodi hii kanuni ipo tofauti na Toyota GD.6...
 
Nina 2.2, 4 cylinder diesel ya 2017 HR mafuta ni kama unatumia passo na ipo 3.2 wildtruck ya 2018 hii ni 5 cylinder diesel pia mafuta kawaida ila sio kama hiyo yenye engine ya Puma nawashukuru sana Ford ranger nawavutia pumzi nivute hiyo Everest ingawaje ina kodi kuanzia 43m Tsh ntalileta nalo Arusha yawe pamoja...
Ford nilikua siwajui kabisa nilinunua Bantam mwaka 2012 nikashangaa mbona ni Kigari kumbe hawa kaka zake watakua wana vitu zaidi sikukosea aisee..
 
Back
Top Bottom