Introsagvert
JF-Expert Member
- Sep 9, 2019
- 1,472
- 3,067
Halafu kuna sisi tunaondesha vitz 2sz
Unajua sisi bongo Mara nyingi kila kitu tunakiangalia kwenye monetary value. Hatuelewi kwamba kuna faida nyingine ni priceless. It’s about your comfort. Kutembelea gari zuri ni faida kwako in terms of comfortability.Sio gari ya bata hiyo mazee..
Mkuu mshukuru Mungu. Umepambana umefika hapo. Hakuna anyeijua kesho. Unaweza miliki gari nyingine nzuri zaidi. Ni swala la mda tuu.Halafu kuna sisi tunaondesha vitz 2sz
Wakati sisi wengine huwa tunapanda na Hiace na maisha yanaenda ndugu zangu magari sijui wanayachukuliaje..Mkuu mshukuru Mungu. Umepambana umefika hapo. Hakuna anyeijua kesho. Unaweza miliki gari nyingine nzuri zaidi. Ni swala la mda tuu.