baunsamuoga
JF-Expert Member
- Apr 16, 2023
- 1,072
- 1,080
Dah? "chuma za laki milioni? Tupambane kwakwel
165M mpaka 220MHii ndiyo gari. Kuna moja imenyanyuka zaidi halafu tairi zimekaa kama ina matege ya nje. Ni kali sana. TZS ngapi hii kwa wastani?
Hatimae maan ulikua mbishi sana ww kukubali vyuma😂😂Hizi chuma zimeanza kujaa jaa mjini, hafu sio poa zinafaa kwa kila matumizi aisee.
View attachment 3332835
Muonekano wake umekaa vema. Sio nje sio ndani.View attachment 3332836
Ford Ranger, Ford Ranger Raptor, Ford Ranger Wildtrak ni dream truck.
Hata south bei zao si kali sanaGari hizi nzuri lakini bei yake hapana, 120M huko sio poa....ila Kenya kidogo bei zimepoa, kukuta mtu anauza ambayo imenyooka million 70 au 60 ya kitanzania kawaida...nitaendesha hii gari inshallah
Mi nazikubali legend za SauthRevo Rocco za kuanzia 2020 nayo imetulia sana
Mmarekani kwenye trucks yupo bomba sana kakaFord yeyote ila siku zote nazipa nyota tano nlipiga safari ndefu na ford escape gari mwonekano wake so mzuriii kivileeeee ila gari Iko stable sana road haihami hovyo sasa nkajichanganya na Tako la nyani asee hizi gari sijui watu wanazipendea nini zaidi ya kua luxury ila gari haiko stable hasa ukiwa 100+km kukutopiga gwara ni sekunde tu
Ipo naweza PATA kwa 60 million kuanzia mwaka 2021 to 2024 hadi registrationPickups battle
• Fords Rangers, wildtrack
• Toyota Hilux
• Nissan Navara
• VW Amarok
• Isuzu D-Max
• Mitsubishi Triton
• GWM - China brand
Ranger mpya na Amarok mpya, Ford na VW walifanya design pamoja, tofauti kubwa ni engine na gearbox, ila Amarok ni mziki mwingine😀😀 kuna Isuzu Fulani hivi nazo kama ford ranger na pia kuna voxy wagen fulani nazo kama ford
Nadhani kwenye pick-ups pesa yako tu. RAM, Silverado, nk za USA zina udambwi moja hatari.View attachment 3333379View attachment 3333380
Uko sahihi sana kaka mkubwa Kuna engenering stable sana kwenye haya magariMmarekani kwenye trucks yupo bomba sana kaka
Angalia ata hizi hilux ni kama copy za ford ranger
Hii machine iko poa sana,kwa bahati mbaya naendesha ya ofisini ninakofanya kazi,sijaweza kuimilikiHizi chuma zimeanza kujaa jaa mjini, hafu sio poa zinafaa kwa kila matumizi aisee.
View attachment 3332835
Muonekano wake umekaa vema. Sio nje sio ndani.View attachment 3332836
Ford Ranger, Ford Ranger Raptor, Ford Ranger Wildtrak ni dream truck.
finally nimeona koment niliyokuwa naitafuta.Mwanaume anazawadiwa gari bila hata ukakasi unaandika hvo
VW Amarok, dah inshaallah one dayMdudu hatari ni Amarok
Volkswagen Amarok kuanzia 2022-2025 zimekuja ni 10 speed transmissions automatic gearbox huku engine zake zikiwa na B-Turbo yaani turbocharged mbili kwenye engine moja ili kuipa nguvu ya haraka ili iweze kuchanganya mapema .VW Amarok, dah inshaallah one day