Ikulu zetu za Afrika Mashariki

Twende mbele twende nyuma ikulu ya Dar ndio ikulu bomba zaidi Africa Mashariki. Ukizingatia ina historia iliyotukuka.. kuwa ikulu pekee iliyojengwa na wakoloni wote wawili. Na ilijengwa kwa mtindo wa kihindi/kiarabu/kiajemi..
 
Nasikia Burundi Ikulu yao ni nyumba ya kupanga ya mtu binafsi je kuna ukweli wowote hapo?
 
Reactions: MC7
Ya Kenya nzuri sana kilichoharibu ni hiyo security light hapo juu, wangetafuta means nyingine ya kuweka hiyo taa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…