Ikulu yakanusha uteuzi wa Jerry Muro

Haya sasa tatizo watu wanarukia vitu wasivyojua na kuvitoa bila kujua chanjo ona sasa mnavyoumbuka!!
 
....asubuhi watu walikuwa wanamwagika povu hapa!, ooh Malinzi mbaya kaumbuka (wakati wala sio Malinzi aliemfungia, ni kamati ya maadili)!, wambili havai moja!, kelele kibao kisa kuingiza uyanga wao kwenye mambo ya msingi, sasa hivi sijui mtajificha wapi?!
 
Matamko mengine bhana!"eti ikulu inawaomba wananchi wazipuuze taarifa hizo na waendelee na shughuli zao za kila siku",kwani nani hupoteza muda kwa kusubiri matamko ya ikulu?

.....mmoja kati ya wale waliokuwa wanatapika povu asubuhi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…