Technology
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 769
- 284
Ikulu?? No way.. Lumumba may be???
Sotori iko hivi ,
Mbowe, mkewe Slaa
wachukua posho Bunge
*Wabunge wao wagawanyika, 28 wasaini posho-
*Ubunge wa Zitto Kabwe sasa wawekwa rehani
*Ziara majimboni, maandamano yao katika hatihati
Na Mwandishi Wetu.
Leo majira ya mchana tukiwa News room kuna taarifa ambayo imeandikwa na imesambazwa kwa wahariri ikiwa na lengo la kuwachafua wabunge wa CHADEMA kesho kuhusiana na posho.
Taarifa hiyo imetolewa baada ya Ikulu kulitaka Bunge liwapelekee mahudhurio ya wabunge wote waliosaini kwenye orodha ya mahudhurio na imetumika hiyo kwa kuangalia ni wabunge gani wa CHADEMA waliweza kushiriki kwenye vikao na hivyo kusema kuwa ni orodha ya kupokea posho.
Habari hiyo itakuwa ndiyo front page kwenye magazeti mbalimbali kesho na lengo ni kuhakikisha kuwa walau wanapumua ili suala la posho wananchi waone kuwa limekigawa CHADEMA kati ya wabunge wake.
Naomba kuishia hapo kwa sasa kwani ndio tunakimbizana na deadline, ntarejea baadae kuwajuza na nikiweza nitaiscan taarifa hiyo na kuiweka hapa jamvini.
Mbona hili ni daftari la mahudhurio sio la malipo. Ama kweli serikali ya kikwete imekwisha. Kama hii ndio staili ya kulipana basi serikali inadaiwa na kila mtu. Waliohudhuria mikutani ya kijiji na wafanyakazi wote wanaofanya vikao maofisini bila malipo wanastahili kulipwa posho.Leo majira ya mchana tukiwa News room kuna taarifa ambayo imeandikwa na imesambazwa kwa wahariri ikiwa na lengo la kuwachafua wabunge wa CHADEMA kesho kuhusiana na posho.