Ikulu yaandaa habari kuchafua wabunge wa CHADEMA

Ikulu ya wahuni hii. Hata hivyo wamepuuzwa na magazeti yote yenye akili
 
mimi nafikiri ccm hapa ndio inajichimbia kaburi, wananchi wanafikiri na kuchambua habari kuliko wao wanavyofikiri, sasa kutaibuka hoja ya serikali kuingilia bunge. kutuonyesha wabunge wa cdm kusaini karatasi ya mahudhurio bado hakuondoi hoja ya kufuta posho.
 
Hata kama hawaja sign, ukweli unabakia palepale wameshakopa benki na posho ndo dhamana ya mikopo waliyochukua, labda tuseme kupinga posho kwa siku za usoni.Kwani TBC ilikuwa live Mh. Lukuvi akalijuza taifa waheshmiwa wamekopeshwa izo pesa za vikao.
Lukuvi UPE anajua nini huyu magamba damu? Anadhani hii ni agenda ya kisiasa, hivyo anaijibu kisiasa. Ngoja aone kama watabaki salama mara jambo hili litakapowafikia wananchi wote mara baada ya maandamano ya cdm baada ya bunge. Jambo la msingi hapa je posho ni halali au ni wizi unaoendelea?Halafu hii siyo kazi ya wabunge wa chadema hii ni kazi yetu wananchi kuamua hatima ya posho hizi. Cdm wametufungua tu macho ila watakaowahukumu ni sisi wananchi.Watu sasa wanaendelea kujua kuwa hizi posho si halali na ulikuwa ni wizi wa miaka mingi!Kama mtu alikuwa anatuibia kwa siri na mara tukagundua na huku alitumia zile hela kugarantee mikopo, basi tumuachie amalize kulipia deni eti kwa sababu hela anazoiba zinatumika kurejesha deni la mkopo? Tutakuwa mafara sana ndugu yangu hatuwezi kusubiri!
 
CCM wanachekelea na kufurahia matone ya petrol yanayodondokea nyumba yao, bila kujua lazima mlipuko utatokea mda sio mrefu. mbona hili halihitaji hata digree kulifahamu? kwani hawa magamba wanatumia nini kufikiri? ubongo au makalio?
 
Karatasi inajieleza ni ya mahudhurio huku mnatwambia wabunge wa chadema wagawanyika kuhusiana na suala la posho, ukiwa mwana CCM ni bure kabisa, hao waliotumiwa kuandaa hiyo ni vichwa vya panzi
 
Ninachojua mimi, Zitto amewaingiza kingi wenzake. Kwa jinsi alivyomnafiki amekimbia Dodoma tangu Jumatano alipomaliza kusoma hotuba yake. Lengo ni kutofukuzwa na Spika. Si unajua huyu jamaa hafanyi kitu bila baraka za Zoka na Kikwete.
 
Ninachojua mimi, Zitto amewaingiza kingi wenzake. Kwa jinsi alivyomnafiki amekimbia Dodoma tangu Jumatano alipomaliza kusoma hotuba yake. Lengo ni kutofukuzwa na Spika. Si unajua huyu jamaa hafanyi kitu bila baraka za Zoka na Kikwete.

Hiyo Spanner nahisi iko Nanih.....Halafu ya Moto
 
Ninachojua mimi, Zitto amewaingiza kingi wenzake. Kwa jinsi alivyomnafiki amekimbia Dodoma tangu Jumatano alipomaliza kusoma hotuba yake. Lengo ni kutofukuzwa na Spika. Si unajua huyu jamaa hafanyi kitu bila baraka za Zoka na Kikwete.

Zoka anamzidi boss wake siku hizi au una chuki na huyu kijana ? Zitto alicho fanya ndiyo msimamo wa Chadema why do you single out this young man alone ?
 
Si kweli. Kuna wabunge wengi ndani ya Chadema wanataka kuchukua posho zao. Lakini wanaogopa kunyooshewa kidole. Kama ni msimamo wa wabunge wote, je tuelezwe umepitishwa katika kikao gani?
 
Kama ungekuwa msimamo wa chama, basi wangechukua hizo posho na kuwalipa makatibu wa mikoa na wilaya wa Chadema ambao hawana hata mia ya maji. Makatibu hao wanafanya kazi katika mazingira magumu sana. Sasa mbona kama hawazitaki hizo p[osho kweli, na kama kweli hawazitaki hizo fedha kwa nini wasizichukue na kuzipeleka huko badala ya kutaka zirejeshwe serikalini ambako zitaliwa.

Ukisikia unafiki wa ZITTO (AKA) kibaraka wa Zoka, JK ni huo
 
Si kweli. Kuna wabunge wengi ndani ya Chadema wanataka kuchukua posho zao. Lakini wanaogopa kunyooshewa kidole. Kama ni msimamo wa wabunge wote, je tuelezwe umepitishwa katika kikao gani?

Umemnukuu Pinda siyoeee
 
CHADEMA msirudi nyuma katika hili ninawahakikishia kwamba mmewashika pabaya na mnaonesha ukomavu mkubwa katika siasa endeleeni kuwachezesha hawa walioifukarisha nchi.
 
Nakubali kwamba CCM wameshikwa pabaya, ni kwa sababu hawajipangi katika kukabiliana na hoja kama hizi. Lakini nina uhakika, kama CCM wangekuwa makini, basi suala hili lingewasambaratisha Chadema. Hapa Zitto alikuwa anatafuta ummaarufu binafsi. Lakini amekwama. Akaruidi kwa Zoka amwambie tumekwama. Lengo ni kutaka hadhi ya Zitto irejee, ili baadaye akivuruge Chadema.
 
Hawa jamaa hawana jipya ila kama kawaida yao lazima waseme maana nukumbuka mbumbumbu wao mkuu aliitisha mkutano na wahandishi wa habari na kuuongea utumbo mtupu.
Wanaweweseka na kasi ya CDM
 
Sema bi Kiroboto hafai kuongoza bunge
Wata tapa tapa sana! Maji yako shingoni! Asante kwa kuwahi kuwafunua, wanadhani Tanzania ya leo ina mambumbumbu kama wanavyo endelea kufikiri?! Nyumba iangukayo hata mende huikimbia.

Magamba hayana pa kutokea, pinda kahalilisha takrima, na makinda hafai kuongoza bunge. Ikulu inaingilia bunge? Nime iprint naisambaza mtaani, na kubandika kwenye nguzo za umeme kabla hata magazeti hayaja toka. NYAMBAFU.
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom