Ikulu ya Magogoni iko hatarini kutumbukia baharini

hivi jamani kwanza naomba samahani sisi wengine hatuna vyama na wala hatutalajii kujiunga na vyama, hivi hakuna hata siku moja ishu za kijamii tukazijadili bila kuweka mambo ya vyama vya cdm ccm, wengine twasikia vibaya na hatupendi kuona kilka suala mwawek mambo ya vyama, kwani hata kama cdmwangepata nafasi hiyo wangeweza kutekeleza hayo ambayo ccm imeshindwa au inayafanyia mzaha? Tuondoe mambo ya cdm na ccm tuchangia hoja bila kuwataja hao, mbona sijasikia cuf na wengine wakitajwa?

Hapo kwenye red unadhihirisha wewe ni mwanasiasa na ni ccm
 
hivi jamani kwanza naomba samahani sisi wengine hatuna vyama na wala hatutalajii kujiunga na vyama, hivi hakuna hata siku moja ishu za kijamii tukazijadili bila kuweka mambo ya vyama vya cdm ccm, wengine twasikia vibaya na hatupendi kuona kilka suala mwawek mambo ya vyama, kwani hata kama cdmwangepata nafasi hiyo wangeweza kutekeleza hayo ambayo ccm imeshindwa au inayafanyia mzaha? Tuondoe mambo ya cdm na ccm tuchangia hoja bila kuwataja hao, mbona sijasikia cuf na wengine wakitajwa?

Unaweza kuongelea matatizo yaliyomo ndani ya familia yako bila kuwahusisha wazazi ambao ndio wenye wajibu na dhamana katika utatuzi wake?
Inawezekana kutafuna embe au chungwa bila kukumbana na layer ya ganda linalolinda uhondo wa tunda hilo? Na ukikuta embe imeingiliwa na viroboto sinashaka ganda lake litabeba lawama. Ndio unaona CCM wanavyohangaika na kujivua magamba.
 
kazi yao, kuishambulia chadema, kuhudhuria mikutano ya bunge ili kuipigania ccm isimezwe na chadema, kuwa wageni rasmi kwenye minuso na mishiko, kufungua semina , makongamano na kuboresha mazingira ya utoaji tiba ya babu loliondo. kama kuna kazi nyingine nimesahau mnikumbushe.

its too narrow indeed!!

Kucheza mduara na taarabu!
 
Kucheza mduara na taarabu!

Watanzania wa leo si wale wa kizazi cha kuliwazwa na taarabu, tunataka yafanyike tuliyoahidiwa ni pamoja na haya kulinda mazingira ya nchi yetu, iweje hata Iluku isahaulike kama hakuna anayeishi na kuilinda?
 
Wanafikiria bado tunacheza lelemama wakati hatujui kesho tutakula nini
 
yaleyaleeeeeeeeeeeee

hehe mwaka huu hatupumui, maana kila kona wanachokonoa. Tukiamua kutoka Ikulu na kuanza ziara polisi nao wanatibu mambo mikoani, madokta wana kazi ya kuagiza pills kwa ajili ya kuteremsha na kupandisha mapigo ya moyo.
 
Wameshahesabu hizo pesa wanakulao, labda by the time maji yanafikia nguzo ya ikulu watakuwa wameacha kazi au watakuwa wanakufa na uzee na hapo ni generation za baadae watajiju
 
Wameshahesabu hizo pesa wanakulao, labda by the time maji yanafikia nguzo ya ikulu watakuwa wameacha kazi au watakuwa wanakufa na uzee na hapo ni generation za baadae watajiju

Mimi dhamiri yangu yanisuta katika masuala ya kutojali majukumu, kwamba wajao watafanya, na watoto wetu waje kutulaumu?

Nyerere hakuyamaliza, Mwinyi hakuyamaliza, Mkapa hakuyamaliza, Mimi pia sitayamaliza nitaacha na vizazi vijavyo vitaendelea na uvivu wa usanii wa kurithishana.
 
Back
Top Bottom