Strong Durable
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 487
- 721
Ni kweli tunahitaji shule sio UMEKASILIA ni UMEKASIRIKA mimi nikiona mtu anachanganya "L" na "R" basi nguvu zinaisha.
Dunia nzima ni masikini.
Hata huko ulaya masikini wapo.
Hata serikali iseme bajeti yote ipelekwe kuondoa umasikini haitatosha hata miaka 100 ijayo.
Wacha vingine vifanyike
Hayo Ni Makosa ya Kiuandishi hata BBC CNN wanakosea Nenda Kwenye Point inaonekana Na Wewe Kuna Mrija unafyonza Mema ya Nchi Alaf unakuwa Mkali inabidi tule Wote Au Tujenge Nchi Yetu Sote ????Ni kweli tunahitaji shule sio UMEKASILIA ni UMEKASIRIKA mimi nikiona mtu anachanganya "L" na "R" basi nguvu zinaisha..
Tunahitaji bajeti itumike zaidi kwenye vipaumbele vya msingi na mambo ya msingi,,,,Ikulu ina faida gani kwa dunia ya sasa??,,,uchumi kwa jamii,, wananchi na nchi kiujumla haukuzwi kwa kuwa na ikulu nzuri na kubwa,,,ni ufahari wa kijinga na hulka za kijinga za viongozi,,,Viongozi inabidi wawe na maono bora ya kulijenga Taifa kwenye sekta na mambo ya msingi na sio kujenga ikulu!!!Sasa kaangalie budget ya miundombinu, elimu na maji imepunguzwa? acheni gubu wewe umeanza kujenga nyumba ya kuishi au ulichimba kisima kwanza...
Hapana L na R ni issue kubwa Tanzania, sasa twende kwenye hoja kwanza mimi kwa bahati nzuri sio mtu anayenufaika na system kabisa wala sina hata ndugu labda yuko serikalini huo ndio ukweli lakini katika uhalisia tu, Mimi kama najenga nyumba yangu na watu wengi tu huwa wanatumia pesa nyingi kuiweka sitting room katika ubora zaidi ipendeze sababu wageni wako wakija ndio sehemu watafikia na unataka wafurahi huwezi kuwekeza pesa nyingi kwenye store kwa maana kama una Million 100 ya kujenda labda 40% kipaumbele sitting room na serikali ni hivyo hivyo huwezi kuwa na Ikulu haina hadhi kama nchi. Mtu angesema tubane matumizi kwenye manunuzi ya magari mapya kwamba gari ili ibadilishwe kuwa na criteria muhimu sio model maana ziko gari bado ziko vizuri tu lakini wanatumia vigezo vya model na kupunguza misafara mikubwa ya viongozi ziko sehemu nyingi zakubana matumizi yasiyokuwa na ulazima ila lazima tuwe na ofisi za wizara bora, Bunge bora, Mahakama, airport bora na Ikulu bora na immigration office bora sababu ni uso wa nchi ile ya kurasini haina hadhi kabisa kwa nchi yetu nadhani Dodoma inajengwa kitu chenye hadhi. Hebu angalia mahakama ya kisutu ni wakati wa ku move on, hizi nyumba zinajengwa mara moja ni kama wewe ukiamua kujenga jenga nyumba nzuri sababu hutajenga kila siku.Hayo Ni Makosa ya Kiuandishi hata BBC CNN wanakosea Nenda Kwenye Point inaonekana Na Wewe Kuna Mrija unafyonza Mema ya Nchi Alaf unakuwa Mkali inabidi tule Wote Au Tujenge Nchi Yetu Sote ????
Watakopa nje, wanasiasa hamnazo!Ndio maana twasema tukwepe kodi kadri tunavyoweza maana kodi zetu zinatumika kwenye mambo yasiyo ya msingi
Tutachukua muda sana kuendelea ,viongozi ni wabinafsi sana ,hawaangalii mateso wanayoyapata waTZ kwa kuwatoza mikodi ya kufa mtu halafu hizo fedha wanaenda kuzitapakanya! Ni ujinga mnatenga kila mwaka biioni 580 kununua magari halafu baada ya mwaka viongozi wanayanunua kwa milioni 2 hadi 3 wakati bajeti moja ni 400m.
Mkuu hata ukiangalia jengo la bunge la Uingereza ni Dogo mno yaani inaweza kuingia kama Mara nne kwenye bunge letuKumbe wanajenga na njia ya ndege!
Nadhani eneo la ikulu yetu litakuwa kubwa kuliko hata Marekani halafu eti sisi ni masikini!
Unajua kinachoendelea kwenye ule mgawo wa 4:4:2? Wananchi wa Tanzania hatujajielewa bado!Hivi utaelewa lini?
Nchi kama Tanzania inahitaji uwekezaji mkubwa kwenye maeneo yatoyoinua maisha ya watu. Sasa wewe unashangilia ikulu kuwa na ranch, kwanini hio ranchi isijengwe kwa ajili ya watu wote? Kwanini ijengwe ikulu?
Au hio pesa kwanini usikopeshe wajasiriamali kuwaongezea mitaji? Au kwanini usitumie hio pesa kuwapa punguzo la bei za umeme kwa watu wenye viwanda vidogo walioanzisha viwanda Vipya? Au unafikiri tutaumalizaje umaskini kama hatujui jinsi ya kutumia pesa ndogo tulizonazo?