Ikulu mpya lakini bado ina muonekano ule ule wa zamani

Nitahamia Dodoma.
Nikipata Ustaa-Arabu(ndoto)
Tulijaribu Chamwino. Tunaweza. Tulikurupuka.
 
Nimeshangaa kuona jengo la Ikulu ya Dodoma bado ni Arabic architecture yani kama Ikulu ya Dar tu,

Miaka sitini ya uhuru nchi imeshindwa kutengeneza wasanifu ujenzi ambao wanaweza kudesign jengo la ikulu la kitanzania!

Tunakopi na ku paste architecture ya mwarabu mkoloni ya karne ya 18?

Sijui hata tunakwama wapi wabongo?

Halafu mbaya zaidi naona tumeshindwa kuficha mabomba ya maji taka tena kwenye front view, ni huzuni kwakweliView attachment 2255808
Unateseka ukiwa wapi?
 
Unasema Arabic architecture
Haya tupe mfano wa Tanzania architecture
 
Tokea misingi inachimbwa ilishajulikana jengo litakuwaje na ulikaa kimya,jengo limeisha eti unaanza kulaumu ili uonekana una akili nyingi...
 
Kwa kweli hata mie nimeshangaa,ina maana mpaka karne hii hakuna ramani ya kisasa kuliko hii?
 
Wabongo tumejijengea TABIA ya kulalamika na kukosoa kila kitu, halafu wakosoaji wengi wala hawajagi na solution; we need to change this kind of behavior
 
Hata CCM tumepokea wanachama wapya ila bado wanamuonekano wa zamani 🐒

IMG_20220531_204006.jpg
 
Nimeshangaa kuona jengo la Ikulu ya Dodoma bado ni Arabic architecture yani kama Ikulu ya Dar tu,

Miaka sitini ya uhuru nchi imeshindwa kutengeneza wasanifu ujenzi ambao wanaweza kudesign jengo la ikulu la kitanzania!

Tunakopi na ku paste architecture ya mwarabu mkoloni ya karne ya 18?

Sijui hata tunakwama wapi wabongo?

Halafu mbaya zaidi naona tumeshindwa kuficha mabomba ya maji taka tena kwenye front view, ni huzuni kwakweliView attachment 2255808
Kwahiyo ulitaka tujenge kwa African Architecture kwa kujenga design ya msonge?
 
Back
Top Bottom